Tamatheo
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 3,298
- 1,562
Acha undezi bana.... Ina maana kichwa chako hakina hata akili ya Pentium 1 ya computer??????????????kwa hyo nimuache mkuu!
Acha undezi bana.... Ina maana kichwa chako hakina hata akili ya Pentium 1 ya computer??????????????kwa hyo nimuache mkuu!
Ndo ujue hakupendi sasa
sijui wamerogwa na nani hawa
kwa hyo nimuache mkuu!
nimejifunza mkuu,sidhani kama nitakuja kupenda tena
ha ha ha ha haaaa.... Kweli mwanamke ni kiumbe wa ajabu.Acha undezi bana.... Ina maana kichwa chako hakina hata akili ya Pentium 1 ya computer??????????????
kweli kiumbe cha ajabu kukuweka tumboni miezi 9 kwa kutumia njia hiyo hiyo ndogo kakutoa tumboni na bichwa lako kubwa hilo....hakika ni kiumbe cha ajabuha ha ha ha haaaa.... Kweli mwanamke ni kiumbe wa ajabu.
Kunaa baadhi ya wanawake ni zero brain,yaan mambo yao kama wamerogwa na wafuu.
Aliyemtoa hawez msahau. Mda wwt anampa.
mkuu yani hawa viumbe inabd kuish nao kwa akili sana yan
Mi nahangaika hapa kumsahau alinikataa acha tu nimekunywa pombe wapi anakuja tu kichwani nikishika kitabu huyu hapa. Nimekoma kupenda vizuri
Mkuu ni ukweli usiopingika women are unavoidable labda uniambie nipende with great careeeh bora ukome kupenda wanawake anza kupenda sijui wanyama na midori
lakini nampenda mkuu
Mkuu huwezi jua labda mama ake ni Abdallah asee...
kwa hyo nimuache mkuu!