rabiintocavel
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 294
- 233
Mfanye awe mchepuko wako
eeh bora ukome kupenda wanawake anza kupenda sijui wanyama na midori
yeah,mkoa mmoja mkuu
mzabzab upo?wewe nae bwana sasa upo mikoa tofauti wategemea nini...mboya mnatafuta stress za bure nyie.
wewe achana nae bwana....vya utamu vimezaliwa vingi.
Wakuu hapa nilipo hata siamini kwa kilichonitokea.
Nina g.f wangu tuko mikoa tofauti na ananipenda sana kwa kweli.Juzi kati alianza kunitumia txt za ex wake kuwa anataka warudiane ila ye hataki coz ananipenda sana me.Akampa hadi namba yangu na me akanipa yake.Nikaongea naye na akanipa siri nyingi sana hadi kutoa mimba yake bila kumjulisha,pia alimtoa bk.Jamaa tulimalizana fresh na akakubali yaishe na mim ndio mmiliki.
Leo nimemtxt mpenzi wang mida ya jioni akawa harespond.Nikipga hapokei nikavunga.Baada ya masaa kadhaa akanipgia sikupokea zen akapga tena nikapokea nikatake easy.akaanza kutoa sabab simu alimpa mdogo ake aend nayo mjini ye alilala.Kwa akili yangu ya kawaida nikatengeneza mazingra ya akubali kuwa alikuwa na yule ex wake wanasex.
Nikambana sanaa na ikawa kweli kanisaliti.Akawa analia sana akajua labda jamaa kanambia kumbe wala na anaomba msamaha anasema hakuna mwanaume anayempenda kama me duniani.Nimemwambia anipotezee hanielewi.
Wakuu naombeni ushauri, je niendelee naye au nipge chini nianze kuhit and run?
Ukiona mwanamke anakupa habari za fulani ananitaka, sijui ananitongoza ujue huna mke/ gf. Mwanamke wa hivyo ana mambo anafanya sasa anakuwa anatafuta njia ya kufanya uamini kuwa hafanyi hayo mambo na hata ikitokea umehisi kitu fulani anakua wa kwanza kusema, si nilikwambia hivi na hivi... Halafu kitu kingine ambacho ni cha kijinga sana umefanya ni kuongea na huyo X wake. Kwanza ukiwa na mwanamke usitake hata kumjua x wake. Kwa ujumla hakuna mwanamke hapo, anampa namba yako x wake. Sijawahi kuona ujinga huo
Wakuu hapa nilipo hata siamini kwa kilichonitokea.
Nina g.f wangu tuko mikoa tofauti na ananipenda sana kwa kweli.Juzi kati alianza kunitumia txt za ex wake kuwa anataka warudiane ila ye hataki coz ananipenda sana me.Akampa hadi namba yangu na me akanipa yake.Nikaongea naye na akanipa siri nyingi sana hadi kutoa mimba yake bila kumjulisha,pia alimtoa bk.Jamaa tulimalizana fresh na akakubali yaishe na mim ndio mmiliki.
Leo nimemtxt mpenzi wang mida ya jioni akawa harespond.Nikipga hapokei nikavunga.Baada ya masaa kadhaa akanipgia sikupokea zen akapga tena nikapokea nikatake easy.akaanza kutoa sabab simu alimpa mdogo ake aend nayo mjini ye alilala.Kwa akili yangu ya kawaida nikatengeneza mazingra ya akubali kuwa alikuwa na yule ex wake wanasex.
Nikambana sanaa na ikawa kweli kanisaliti.Akawa analia sana akajua labda jamaa kanambia kumbe wala na anaomba msamaha anasema hakuna mwanaume anayempenda kama me duniani.Nimemwambia anipotezee hanielewi.
Wakuu naombeni ushauri, je niendelee naye au nipge chini nianze kuhit and run?
mkuu hao walimsaliti adamu tena peponi itakuwa kwako wako wewe duniani