Wanawake ni watu wa ajabu sana

Wanawake ni watu wa ajabu sana

asante sana mkuu.Halafu baada alivyosema sifai anataka tuwe good friends.Hisia zinawaongoza yani.I declined.

Mkuu yani unaweza kuhisi kama vile alikuwa anaigiza aisee mimi mwenyewe tena nilikutana na hiyo hali aisee alinitafuta more than 7 years kujua nipo wapi kwa hisia za utotoni halafu baada ya miaka 2 kuwa nae anateleza maana mpaka nilikuwa nacheka aisee dada zetu wakati mwingine sijui wanakuwa vipi aiseee
 
Wakuu hapa nilipo hata siamini kwa kilichonitokea.

Nina g.f wangu tuko mikoa tofauti na ananipenda sana kwa kweli.Juzi kati alianza kunitumia txt za ex wake kuwa anataka warudiane ila ye hataki coz ananipenda sana me.Akampa hadi namba yangu na me akanipa yake.Nikaongea naye na akanipa siri nyingi sana hadi kutoa mimba yake bila kumjulisha,pia alimtoa bk.Jamaa tulimalizana fresh na akakubali yaishe na mim ndio mmiliki.

Leo nimemtxt mpenzi wang mida ya jioni akawa harespond.Nikipga hapokei nikavunga.Baada ya masaa kadhaa akanipgia sikupokea zen akapga tena nikapokea nikatake easy.akaanza kutoa sabab simu alimpa mdogo ake aend nayo mjini ye alilala.Kwa akili yangu ya kawaida nikatengeneza mazingra ya akubali kuwa alikuwa na yule ex wake wanasex.

Nikambana sanaa na ikawa kweli kanisaliti.Akawa analia sana akajua labda jamaa kanambia kumbe wala na anaomba msamaha anasema hakuna mwanaume anayempenda kama me duniani.Nimemwambia anipotezee hanielewi.

Wakuu naombeni ushauri, je niendelee naye au nipge chini nianze kuhit and run?
Acha kipoteza mda wako..
 
Nimewaelewa
 
She is a fool. You are sleeping with both guys then unawapa phone contacts wawasiliane! They are not even supposed to know each other. Anyway anakupenda ila huyo ex bado anamcontrol. She needs to cut ties with him for good. Msamehe ila mpaka uridhike kweli wameachana. Na usimsamehe kirahisi rahisi atakuona u can never leave her. Mtese kidogo aonje uchungu wa kuachwa ili ajifunze.
 
Wakuu hapa nilipo hata siamini kwa kilichonitokea.

Nina g.f wangu tuko mikoa tofauti na ananipenda sana kwa kweli.Juzi kati alianza kunitumia txt za ex wake kuwa anataka warudiane ila ye hataki coz ananipenda sana me.Akampa hadi namba yangu na me akanipa yake.Nikaongea naye na akanipa siri nyingi sana hadi kutoa mimba yake bila kumjulisha,pia alimtoa bk.Jamaa tulimalizana fresh na akakubali yaishe na mim ndio mmiliki.

Leo nimemtxt mpenzi wang mida ya jioni akawa harespond.Nikipga hapokei nikavunga.Baada ya masaa kadhaa akanipgia sikupokea zen akapga tena nikapokea nikatake easy.akaanza kutoa sabab simu alimpa mdogo ake aend nayo mjini ye alilala.Kwa akili yangu ya kawaida nikatengeneza mazingra ya akubali kuwa alikuwa na yule ex wake wanasex.

Nikambana sanaa na ikawa kweli kanisaliti.Akawa analia sana akajua labda jamaa kanambia kumbe wala na anaomba msamaha anasema hakuna mwanaume anayempenda kama me duniani.Nimemwambia anipotezee hanielewi.

Wakuu naombeni ushauri, je niendelee naye au nipge chini nianze kuhit and run?

Hivi kale kamsemo wanawake wanakatumia sana kakusema sisi wanaume ni wa baba mmoja ama wanasema wanaume tunafanana kitabia, huwa naona kama wanajisema wao,sis sio kivile ila wao sasa,maana kwa vitabia wanawake yani kama ka-copy kwa mwenzake na ku-paste kwake, yani kaka simulizi yako quite equivalent na ya best friend wangu, yani tafikiri huu uzi kaandika ma best friend😂
 
Aisee huyo demu achananae atakucha kukupa matatizo makubwa
 
title ya mada na mada hucka haviko sawa,rekebisha kwanza.
 
Pole sana ila sielewi kama bado unatarajia kushauriwa kitu gani katika hili! Kuna changamoto ambazo mtu utaomba tu ushauri lakini ukishauriwa lazima akili ya kuambiwa uchanganye na yako. Sasa huyu mtu hujaoa, unahitaji ushauri upi sasa na amekwambia alikuwa wapi na akifanya nini tayari.....! Amka...
 
Kwa kauli hizi weweni mtu wa ajabu sana. Hivi unatumia nini kufikiri?

Kwa kauli hizi, wewe ni Zoba (rejea tafsiri ya Zoba, sio tusi )

''Nina g.f wangu tuko mikoa tofauti na ananipenda sana kwa kweli''
Kupendwa sana ndio kunakuwaje? huyu huyu anayegawa kwa ex wake bado unajifariji kuwa mnapendana sana? Akili yako inafanya kazi sawasawa?

''Kwa akili yangu ya kawaida nikatengeneza mazingra ya akubali kuwa alikuwa na yule ex wake wanasex.''

''Nikambana sanaa na ikawa kweli kanisaliti''

''Wakuu naombeni ushauri''

Unaomba ushauri kwa sababu hujui cha kuamua au umeshindwa kuamua. Katika jambo ''sensitive' kama hili lililo wazi kabisa unaomba ushauri?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom