Wanawake ni watu wa ajabu sana

Wanawake ni watu wa ajabu sana

Kwahiyo kama wanawake sio watu wewe ulizaliwa na fisi? Au in that case na wewe sio mtu right?
 
We jamaa pumba kabisa. Sasa hapo unataka ushsuri gani?
Mapenzi ya utotoni shida kweli ndio maana tunashsuriws kila siku mapenzi tusubiri ukubwani.

Kwanza umeanza vibaya eti anakupenda kweli sasa ona ulivyo boya( samahani nina hasira). Anakupenda huku anagongwa hadi wewe mwenyewe umejua?
Kitu kingine usipende kusikiliza story za x wa mke/ mpenzi wako za nini, zunahusu nini na mapenzi mapya? Au ndio kusema bado anampenda au ndio anakulingishia wewe mpenzi mpya? Mimi sitakagi kusijia huo ujinga
 
wanawake ni zaidi ya watu na ndiyo maana wanaume wengine wanajigeuza kuwa wanawake maana ni ujiko
 
Blame game, blame game, blame game till when?
 
Wakuu hapa nilipo hata siamini kwa kilichonitokea.
Nina g.f wang tuko mikoa tofauti na ananipenda sana kwa kweli.Juzi kati alianza kunitumia txt za ex wake kuwa anataka warudiane ila ye hataki coz ananipenda sana me.Akampa hadi namba yangu na me akanipa yake.Nikaongea naye na akanipa sir nying sana hadi kutoa mimba yake bila kumjulisha,pia alimtoa bk.Jama tulimalizan fresh na akakubali yaishe na mim ndio mmiliki.Leo nimemtxt mpenzi wang mida ya jioni akawa harespond.Nikipga hapokei nikavunga.Baada ya masaa kadhaa akanipgia sikupokea zen akapga tena nkapokea nikatake easy.akaanza kutoa sabab simu alimpa mdogo ake aend nayo mjini ye alilala.Kwa akili yang ya kawaida nikatengeneza mazingra ya akubali kuwa alikuwa na yule ex wake wanasex.Nikambana sanaa na ikawa kweli kanisaliti.Akawa analia sana akajua labda jamaa kanambia kumbe wala na anaomba msamaha anasema hakuna mwanaume anayempenda kama me duniani.Nimemwambia anipotezee hanielewi.Wakuu naombeni ushauri,je niendelee naye au nipge chini nianze kuhit and run?


wewe nae bwana sasa upo mikoa tofauti wategemea nini...mboya mnatafuta stress za bure nyie.
wewe achana nae bwana....vya utamu vimezaliwa vingi.
 
Sasa X wake unaongea naye nini kwa mfano?. Nafikiri bado wewe ni mvulana
 
Sasa unalalamika nini?? Mahawara hawaachani. Na wewe tafuta ex wako atakuvulia chupi tu. Wanawake wana roho ngumu sana.

kwanin kafanya hvo wakati yuko na mim na anasema ananipenda sana
 
Ukiona mwanamke anakupa habari za fulani ananitaka, sijui ananitongoza ujue huna mke/ gf. Mwanamke wa hivyo ana mambo anafanya sasa anakuwa anatafuta njia ya kufanya uamini kuwa hafanyi hayo mambo na hata ikitokea umehisi kitu fulani anakua wa kwanza kusema, si nilikwambia hivi na hivi... Halafu kitu kingine ambacho ni cha kijinga sana umefanya ni kuongea na huyo X wake. Kwanza ukiwa na mwanamke usitake hata kumjua x wake. Kwa ujumla hakuna mwanamke hapo, anampa namba yako x wake. Sijawahi kuona ujinga huo

alidai alikuw anamsumbua so akataka nimzingue,na yeye akasema poa kakubali yaishe
 
Mi nimepiga chini mtu jana. Utasikia baby leo namsindikiza dada msibani sitapatikana, mara dada kalazwa shemeji kaondoka na simu yangu. Mara kuna mzigo nilipeleka site kwa dada simu niliacha home, mara leo nalala sa kumi hadi kesho nimechoka mno. Huo ujinga nani anataka

sijui wamerogwa na nani hawa
 
Daaah!!!eti wanawake sio watu mpendwa hiyo sio sahihi sote tuliumbwa na Mungu kwa kusudi lake tena ni nyama katika mifupa yenu sasa iweje useme sio watu??? By the way tulia na Mungu wako muulize ubavu wangu uko kwa nani?? Na Mungu ni mwaminifu atakupa sawa na haja ya moyo wako ila usikufuru kwa hiyo lugha....pole kwa yaliyokupata lakini.....

nashukuru
 
Upendo wako kazi bure kwa kiumbe kinachoitwa mwanamke Acha kulialia tupa kule Kwanza tayari ashakuwa Used spea. Shituka tupa kule... Pia nijulishe kabila yake

nimejifunza mkuu,sidhani kama nitakuja kupenda tena
 
Kwahiyo kama wanawake sio watu wewe ulizaliwa na fisi? Au in that case na wewe sio mtu right?

wakati mwingne mnafanya mambo ambayo mtu hawez fanya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom