Wanawake ni watu wa ajabu sana

Wanawake ni watu wa ajabu sana

Wanawake walio wengi wanatamaa kubwa sana. Hasa hawa wa kizazi cha dot com. Tamaa kubwa ipo kwenye fedha na urembo. Hivyo vimewafanya wengi wao kuwa hayawani. Wanawake wa sasa wamekosa utu kazi yake ni kufunua malinda na kuonyesha utupu kila kona. Hilo ni fedheha kubwa sana. Mavazi yamekuwa ni shida sana na hii yote ni kuteka wanaume wenyetamaa. Wanawake ni muda wa kubadilika huu na kuacha kujidhalilisha. Pia wapo wanaume wasio na staha wao ni umalaya na tabia mbovu za kutaka kufanya uzinifu na kila mwanamke hiyo ni tabia mbaya sana. Ndio maana hata ukioa unashindwa kutulia ndani ya ndoa kwasababu umezoea sampuli mbalimbali
 
wakuu hapa nilipo hata siamini kwa kilichonitokea.

Nina g.f wangu tuko mikoa tofauti na ananipenda sana kwa kweli.juzi kati alianza kunitumia txt za ex wake kuwa anataka warudiane ila ye hataki coz ananipenda sana me.akampa hadi namba yangu na me akanipa yake.nikaongea naye na akanipa siri nyingi sana hadi kutoa mimba yake bila kumjulisha,pia alimtoa bk.jamaa tulimalizana fresh na akakubali yaishe na mim ndio mmiliki.

Leo nimemtxt mpenzi wang mida ya jioni akawa harespond.nikipga hapokei nikavunga.baada ya masaa kadhaa akanipgia sikupokea zen akapga tena nikapokea nikatake easy.akaanza kutoa sabab simu alimpa mdogo ake aend nayo mjini ye alilala.kwa akili yangu ya kawaida nikatengeneza mazingra ya akubali kuwa alikuwa na yule ex wake wanasex.

Nikambana sanaa na ikawa kweli kanisaliti.akawa analia sana akajua labda jamaa kanambia kumbe wala na anaomba msamaha anasema hakuna mwanaume anayempenda kama me duniani.nimemwambia anipotezee hanielewi.

Wakuu naombeni ushauri, je niendelee naye au nipge chini nianze kuhit and run?

wanaume ni viumbe wanao meremeta sana, wanaishi na mwanamke mmoja siku zote za maisha yao, hawajui kutamani na hawachanganyi maboya. Amen
 
Wanawake walio wengi wanatamaa kubwa sana. Hasa hawa wa kizazi cha dot com. Tamaa kubwa ipo kwenye fedha na urembo. Hivyo vimewafanya wengi wao kuwa hayawani. Wanawake wa sasa wamekosa utu kazi yake ni kufunua malinda na kuonyesha utupu kila kona. Hilo ni fedheha kubwa sana. Mavazi yamekuwa ni shida sana na hii yote ni kuteka wanaume wenyetamaa. Wanawake ni muda wa kubadilika huu na kuacha kujidhalilisha. Pia wapo wanaume wasio na staha wao ni umalaya na tabia mbovu za kutaka kufanya uzinifu na kila mwanamke hiyo ni tabia mbaya sana. Ndio maana hata ukioa unashindwa kutulia ndani ya ndoa kwasababu umezoea sampuli mbalimbali

umeongea point
 
sasa utamuacha kisa alitoa mimba ya ex wake?? kwan kipnd icho ulikua na relation nae?? kwa ushaur wang ni kwamba kama unampenda myajenge tu buana
 
Hapo huyo sio wako hata kama analia anakupenda.... Hugo dem ameshafanya ving na mshkaj kuanzia kumtoa bikra na kuweza kumshawish kutoa mimba.. So wana bond Kali hauwez kuwatenganisha... Inawezekana kila mmoja akawa na maisha yake lakin wakikutana ni ududu kwenda mbele...

lakin anasema sasa hampendi
 
meeeen @ she is After somethin On Yu.... upendo wake kwakoo cyo wa kivilee ila kuna kitu anakipata katoka kwakoo tu na hakipat kwingne@mfn kama ulikuwa una m care sanaaa kwa kunipigia cm mara kwa mara... kumdekeza ndo alichokupendea na khs kuku cheat na X wake ni kuonana na umbal uliopo kat yenu kwa hyoo nakushaur fanya kile moyo wakoo unataka...

napenda bado
 
Ukiona mwanamke anakupa habari za fulani ananitaka, sijui ananitongoza ujue huna mke/ gf. Mwanamke wa hivyo ana mambo anafanya sasa anakuwa anatafuta njia ya kufanya uamini kuwa hafanyi hayo mambo na hata ikitokea umehisi kitu fulani anakua wa kwanza kusema, si nilikwambia hivi na hivi... Halafu kitu kingine ambacho ni cha kijinga sana umefanya ni kuongea na huyo X wake. Kwanza ukiwa na mwanamke usitake hata kumjua x wake. Kwa ujumla hakuna mwanamke hapo, anampa namba yako x wake. Sijawahi kuona ujinga huo
Mchango wako umemaliza kila kitu, ukishaona mwanamke anakuja na habari za kukuambia eti wanaume wanamsumbua wanamtongoza tena akaanza kukuambia na majina, wewe mzabe vibao tu jua tayari ameshakolea huko
Nina sehemeji yangu bwana nilimkamata live na mwanaume kwenye gari wanapeana madenda mimi kwa heshima yangu nikapita kimya kimya wakati shemeji alikuwa anatoka chuo.Sasa siku moja nikaona jamaa anamchukua anampeleka gesti kiliniuma sana kuona mke wa bro wangu anasaliti kiasi kile.Nilichokifanya nikaenda moja kwa moja guest ile na mimi nikajifanya naulizia eti kuna mgeni wangu amefikia pale.Shemeji alivoniona kidogo azimie ila akajikaza mimi sikumjali nikala kona, kuonyesha jeuri hakunitafuta wala hakuwa na habari na mimi,nilichokifanya nikamwendea broo nikampa habari kuwa mke wake ana dalili zote za kuwa anachepuka, broo akasema siyo kweli kama unaongelea jamaa flani akamtaja huyo niliemkuta nae guest akasema kuwa ni mwanaume wanaesoma nae na anamsumbua sana kwa hiyo ipo tu hivo kwamba anamtaka na anamsumbua lkn siyo kweli eti wanabanjuana,yaani siku hiyo aibu ilikuwa yangu kuona kaka ananiruka viunzi
Kuanzania siku ile nikaapa siku mke wangu akija na sera oooh nasumbuliwa na jamaa oooh sijui nini ntamrabua vibao mpaka atashangaa na roho yake, Mungu aniepushie mbali balaa hili la wanawake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom