Wanawake ni watu makini sana

Wanawake ni watu makini sana

ELI COHEN

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
9,421
Reaction score
28,672
Ingawa ni wenye mtazamo hafifu ila ni wazuri katika planning.

Ingawa ni watu sensitive sana ila ni wazuri katika katika kumudu majukumu mengi kwa pamoja na wakati mmoja.

Ingawa ni watu wasio na logic ila ni wazuri katika budgeting.

Kati ya wanawake wanaocheat 10 ni wawili ndio wanaogundulika ila wanaume wanaocheat 10 ni sita ndio wanaogundulika.

Mwanamke ni master wa kukufuatilia na kupangilia mbinu za kukuchunguza au kutaka kitu kutoka kwako and trust mr atakipata tu🤣

Mwanamke ana mood swings muda mwingine anakuwa psycho ila all in all ratiba iliokuwa akili mwake haiwezi vurugika, ila wewe mwanaume timu yako ikishindwa inakuvuruga akili hadi unaanza piga simu ukumbushwe mipango🤣
 
Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100.
1. Wanawake wanaongoza kwa kuchepuka ila wako makini sana kuficha na ku "pretend" kiasi kwamba kuwagundua ni ngumu mnoo.

2. Mwanamke hua hafanyi kitu chochote kwa "bahati mbaya". Ukiona mwanamke kafanya kitu ujue alipanga.
 
Hakika mkuu💯
 
Mwanamke ni master wa kukufuatilia na kupangilia mbinu za kukuchunguza au kutaka kitu kutoka kwako and trust mr atakipata tu

Mwanamke ana mood swings muda mwingine anakuwa psycho ila all in all ratiba iliokuwa akili mwake haiwezi vurugika, ila wewe mwanaume timu yako ikishindwa inakuvuruga akili hadi unaanza piga simu ukumbushwe mipango
Yaani niwe na mission yangu serious mwanamke aijue loh, yaani akijitahidi atakuja kujua mission tayari aborted na nimesha abandon hilo swala na nimesha return to the neutral position ambayo info za mission is equal to value less to both of us
 
Ingawa ni wenye mtazamo hafifu ila ni wazuri katika planning.

Ingawa ni watu sensitive sana ila ni wazuri katika katika kumudu majukumu mengi kwa pamoja na wakati mmoja.

Ingawa ni watu wasio na logic ila ni wazuri katika budgeting.

Kati ya wanawake wanaocheat 10 ni wawili ndio wanaogundulika ila wanaume wanaocheat 10 ni sita ndio wanaogundulika.

Mwanamke ni master wa kukufuatilia na kupangilia mbinu za kukuchunguza au kutaka kitu kutoka kwako and trust mr atakipata tu🤣

Mwanamke ana mood swings muda mwingine anakuwa psycho ila all in all ratiba iliokuwa akili mwake haiwezi vurugika, ila wewe mwanaume timu yako ikishindwa inakuvuruga akili hadi unaanza piga simu ukumbushwe mipango🤣

Bila shaka ndiyo maana huyu kasheheni ng'ombe watu:

Screenshot_20250306-183123_1.jpg

Au?
 
Ingawa ni wenye mtazamo hafifu ila ni wazuri katika planning.
Sijajua kwenye mtazamo umemaanisha nin ila kama they are pessimistic, hata hiyo planning yao itakuwa haina maana na haiwez kutimia
Ingawa ni watu sensitive sana ila ni wazuri katika katika kumudu majukumu mengi kwa pamoja na wakati mmoja.
Hili nakubaliana nalo
Ingawa ni watu wasio na logic ila ni wazuri katika budgeting.
Kama hawana logic basi hata budget zao zitakuwa hazina logic.

Sema Wana logic na wanaweza saana kufikiri Kwa haraka.. akitulia ni kweli anaweza kufanya budget Kwa sababu mwanamke kutafuta taarifa sahihi kwake ni rahisi saana na Hana maamuzi ya haraka kama mwanaume
Kati ya wanawake wanaocheat 10 ni wawili ndio wanaogundulika ila wanaume wanaocheat 10 ni sita ndio wanaogundulika.
Labda itokee mwanaume awe don't care lakini kama akiwa careful ni rahisi pia kumgundua mwanamke anaecheat hasa kama anaecheat nae hajamwambia kuwa ana mtu.

Pia mwanamke aki cheat ni rahisi saana kubadilika sio Kam mwanaume

Mwanaume mpumbavu ndo utagundika mapema, kutokana na ile lifestyle yake.

Maana anaweza kwenda Kwa mchepuko akarudi nyumban sa4 usiku na isiwe shida.

Ila mwanamke aende sehem arudi sa2 lazima uanze kutia shaka
 
Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100.
1. Wanawake wanaongoza kwa kuchepuka ila wako makini sana kuficha na ku "pretend" kiasi kwamba kuwagundua ni ngumu mnoo.

2. Mwanamke hua hafanyi kitu chochote kwa "bahati mbaya". Ukiona mwanamke kafanya kitu ujue alipanga.
Hapo kwenye kuongoza sio kweli
 
Umelipwa shilingi ngapi na hizo ng'ombe jike ili uje kuzipromote humu
 
Mwanamke akicheat na mtu anayemuelewa utajua tu, hawawezificha hisia zao hawa, na mwanamke akicheat kaamua kwelikweli sio bahati mbaya ..thus itaendana na mabadiriko ya tabia
 
Pia mwanamke aki cheat ni rahisi saana kubadilika sio Kam mwanaume

Mwanaume mpumbavu ndo utagundika mapema, kutokana na ile lifestyle yake.
labda huyo ke mmejuana leoleo ila mwanamke kamili anakugundua mapema sana sema sikuhizi tunastrategy yakupotezea haturopoki bila ushahidi
 
Back
Top Bottom