Ukwelinasema
JF-Expert Member
- Feb 10, 2021
- 733
- 926
hadi weweSawa Ila wanawake hawana hizo sifa
hadi weweSawa Ila wanawake hawana hizo sifa
Hiyo No 1 wanaonekana hivo sio kwasababu wana akili, ni kwasababu wanaume hatunaga time ya kuwafatilia; ni ngumu mwanaume kufatilia simu ya mkewe HASA kama anampenda, ni ngumu kufatilia nyendo za mkewe cause hatunaga muda huo now because huaga hatu invest kwenye hayo mambo ndio wao wanaonekana kama wana akili which is not true (nazungumzia muktadha wa kimapenzi tu, mengine mlioyasema kuwahusu mpo sahihi )Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100.
1. Wanawake wanaongoza kwa kuchepuka ila wako makini sana kuficha na ku "pretend" kiasi kwamba kuwagundua ni ngumu mnoo.
2. Mwanamke hua hafanyi kitu chochote kwa "bahati mbaya". Ukiona mwanamke kafanya kitu ujue alipanga.
Hao ni wanawake wa kizazi kipi unawazungumzia?Mwanamke akicheat na mtu anayemuelewa utajua tu, hawawezificha hisia zao hawa, na mwanamke akicheat kaamua kwelikweli sio bahati mbaya ..thus itaendana na mabadiriko ya tabia
Duuh! Aisee! Dunia imechangamka sanaHao ni wanawake wa kizazi kipi unawazungumzia?
Ndugu yangu niamini mimi. Mwanamke wa sasa anachepuka USO MKAVU na anarudi nyumbani kwa mumewe kama vile hakuna kilichotokea na hakuna hisia yoyote anayoonyesha!
Mwanamke wa sasa ana uwezo hata wa kutembea na BABA YAKO mzazi, kaka yako, ndugu zako n.k na usijue chochote anajikausha na huduma zote nyumbani anatoa kama kawaida.
Hao wanawake unaowazungumzia ambao hawawezi kuficha hisia ni kizazi kilichopita sio hiki cha sasa.