Wanawake ni watoto wenye umri mkubwa

Wanawake ni watoto wenye umri mkubwa

Aisee naona km ni ngoma droo mpaka sasa lkn iko hv wanawake sio km hawawez kufanya kazanazofanya mwanaume hapana wanaweza tena sn tu so kuanzq ku compare kufanya kaz jua apa ni ngoma droo ila 90 % ya wanawake wanapenda mteremko
 
Back
Top Bottom