G
guest-1791802738
Guest
Narudia yena Kusema Wanawake ni Kama Uyoga leo ni mboga Kesho ni sumu 🥹🥲😰
Ndugu zangu mimi nalala Ila kuweni makini na mapenzi.
Ndugu zangu mimi nalala Ila kuweni makini na mapenzi.
Fresh Jenga taifa Baadae nikiamka nitakuja kulipaka Rangi Na kuweka BATI za Msauzi..Tulia mvulana wewe mtateswa sana na malaya
Wanaume hawayumbushwi na wanawake
Wewe lala tu sisi tunaendelea kulijenga taifa
PoaFresh Jenga taifa Baadae nikiamka nitakuja kulipaka Rangi Na kuweka BATI za Msauzi..
Sawa..Poa
Ushauri wangu mdogo wangu: Pigania mishe zako zipe kipaumbele sio wanawake
Wanawake wengi miaka hii ni malaya ukiwazingatia sana utaumia. Malaya ni kama kunguru hafugiki
Utanishukuru
Nimechelewa Ndugu..Kumbe ulikuwa hujui hilo ????!
Ndio umemtuma aniibie vitu vyote vya geto..??Mkiwa kwenye vikao vyenu Mnakaa mnafundisha wizi hata kwa mwanaume alioonesha nia ya kutaka kukuoa na kukutambulisha kila sehemu..!!Anarogwa mtu SubiriTayar uko,, asante kwa uyo dada kutuwakilisha vema,,, yaani wadada mkipata nafas ya kutesa ivi viumbe,,fanyeni kwel na kwa niaba yangu mshahara ntawapa nkianza kaz🤣🤣🤣😂😂😂😂
Mkuu mbona umeandika kwa haraka kama unaoga nnje alafu unalalaje mdaa huu asubui yoteNarudia yena Kusema Wanawake ni Kama Uyoga leo ni mboga Kesho ni sumu 🥹🥲😰
Ndugu zangu mimi nalala Ila kuweni makini na mapenzi.
acha uibiwe tu mbon namimi nimeibiwa😁😁🙌🏾Ndio umemtuma aniibie vitu vyote vya geto..??Mkiwa kwenye vikao vyenu Mnakaa mnafundisha wizi hata kwa mwanaume alioonesha nia ya kutaka kukuoa na kukutambulisha kila sehemu..!!Anarogwa mtu Subiri
Usiku sijalala..Mkuu mbona umeandika kwa haraka kama unaoga nnje alafu unalalaje mdaa huu asubui yote
😂😂😂ovyo kabisaacha uibiwe tu mbon namimi nimeibiwa😁😁🙌🏾
Asante ndugu..Pole sana mkuu
😂😂😂😂😂😂ovyo kabisa
Mbon kama umetupa gumbo la Imani mzee kwaiyo likikukuta jambo unaamua kujumlisha 🤣🤣Narudia yena Kusema Wanawake ni Kama Uyoga leo ni mboga Kesho ni sumu 🥹🥲😰
Ndugu zangu mimi nalala Ila kuweni makini na mapenzi.