Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,537
- 171,252
ukiona dem kagegedwa bure kapenda...
Madai yao eti "nakupa utamu" una uhakika gani ukinigegeda nasikia utamu.....
unatoa utamu we ni nyuki ptuuuuuu, kafie mbali huko na utamu wako!!!
ukiona dem kagegedwa bure kapenda...
poa basi....asante kwa info sasa papuchi yako ipo wapi?
Ha ha ha acha nizame kwa mwanaume wa ukwee SnowBall pesa kwake si tatizo!
tukishindwana tusije kuanzishiana thread hapa!!!!
Umeonaeeeh...ujue saa zingine kumhonga mwanamke ni wito au karama..sio wote wamejaaliwa!!
Njoo bwana ule raha hapa...hakuna kushindwana hapa labda unipe kitu fake!..manake bongo kwa ufake...
umeona enh! kama pesa yako tamu na mie papuchu yangu tamu sasa baki na pesa yako na mie ni baki na papuchu yangu. kwani tunadaiana??
Kubishana na unayetaka kumgegeda hutompata, maana anapokaribia kukubali tu, basi anakumbuka mabishano na kujifanya hataki, kumbe mabishano ndo yanamkataza..Iwe kona bar, iwe mende bar naongelea pesa, chapaa, ankra....
Try....
Kubishana na unayetaka kumgegeda hutompata, maana anapokaribia kukubali tu, basi anakumbuka mabishano na kujifanya hataki, kumbe mabishano ndo yanamkataza..
Hivi watoto wa siku hizi inakuaje?
Kusema kweli through my experience sijawahi kukutana na mpenzi wa wiki mbili tu wananiomba hela labda wananionea aibu,, nampa nikijisikia kumtoa sweetheart lakini mizinga never.. Nahisi madogo wanakosea kuchagua wa kuwatongoza...
Sio kila mwanamke mrembo ni wakuwa sweetheart wengine ni wa one night stand tu,, unamweka mazingira tata tu anajikuta amemegwa bila shida na wakati analeta mizinga we ushajitoa siku nyingi
Hakuna fake kwa Evelyn Salt .....
ntakupaje fake wakati we ni mkubwa na mi ni mkubwa mwenzio!!!!
Mabahili ndo wanapewaga hizo, you don't deserve fake asee!!!
Hivi nyie wanaume mabahili huwa mnalazimishwa? KAMA HUWEZI GARAMA SI UCHAPE LAPA WANAOZIWEZA WATAKUJA??
yani sahivi kukicha mnalia lia utadhani mnashikiwaga bastola kutoa pesa......
ukiona hela huna sepa!!!!hashikiwi mtu manati unazitoa kwa hiyari huwezi KANUNUE SABUNI!!!
mwali! kuna mtu alishawahi kuambiwa kama hela yako unaona tamu
chukua noti ya alfu kumi thn iviringishe halafu utie hapo mpka umalize!uuuuwih!
watu wana mineno jamani!lol!
Maneno Kuntu hayo...
waingereza wanasema 'money makes the world go around'...
unajikuta mwanaume umeangaika sana, mwenyewe unakiri kwamba inatosha bora nimtafute mmoja nitulie tupange maisha lakini unayoyakuta unaona bora urudi kama mwanza kwa wale watu wale waleeeee unamaliza nao on the spot kila mtu anachukua hamsini zake.kwa mfano utajikuta dem umeanza nae mahusiano kabla ya wiki kitendo cha kuanza kuchat nae kwenye sms kila baada ya sms ni shida mara sim ya mbovu natumia ya nyumbani,mara nitumie hela nina hamu ya nyama choma mara nitumie hela ya kununua mahitaji madogo madogo ya
Evelynnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn!!!!!!!!!!!!!!! Kwani sabuni ni mbadala wa mwanamke?
Hapa nimechoka, mwenye macho na asome neno la mwalimu.
Umenifurahisha sana wapi Lara1Afu watu kama wewe most of the time huwa ni mabikra wa kiume...
stori za mdomo tu papuchi kuiona ni kwenye muvi
uongo uongo???
Umenifurahisha sana wapi Lara1
unaulizia papuchi jukwaani acha utoto!!!!
tehe tehe teheeeeeeeeeeee! hapa nakupata pamoja na chenga chenga ila nahamia DigitalNdioooooo sabuni, migomba na O shaped things!!!!
ahahahhahahhhhahah mi nimenukuu tu bana!lol
mwalimu nawezaje kutokwa na mineno hii!ahahahhahahhahahhahhaha