Wanawake ndio wanaosababisha haya yote yatokee!

Wanawake ndio wanaosababisha haya yote yatokee!

Ladies and gentlemen...and the winners are : The ladieeeessss
 
Afu watu kama wewe most of the time huwa ni mabikra wa kiume...
stori za mdomo tu papuchi kuiona ni kwenye muvi
uongo uongo???

Hahahahaha evlyn umenichekesha mpaka basi,its possible jamaa anaishia tu kupiga nyeto
papuchi anaisikilizia jf lol
 
Hahahahaha evlyn umenichekesha mpaka basi,its possible jamaa anaishia tu kupiga nyeto
papuchi anaisikilizia jf lol

Nna rafiki angu wa kiume jina kapuni..
ukisikiliza story zake utahisi kumchukia, muda wote anasimulia katoka kugegeda.
masikini kumbe ana matatizo ya kiuno hospitali aliambiwa asiwe anagegeda!!!!
 
we bwana wee acha tu!
yani kiswahili shida kiinglish shida cha nyumbani kwao hakijui!
kila kitu lugha gongana
manake ni kutumiana tu sms za xana xaxa cjui km vp m nd najikataa utanikuta pale nimechill nn basi we ndo ucom baana pale kaaati!
loh!

Kila mara namwomba mungu aniongezee muda wa kuishi hapa duniani ili niione dunia ya wanangu na wajukuu wangu kwani kila kizazi kinakuja na vituko vyake, kama cha sasa loooh!
 
STAREHE GHARAMA KAKA.Tangu wanaume walipomfanya mwanamke kama chombo cha starehe ndo dunia ilipopoteza maadili hasa kwenye masuala ya mapenzi.Sasa hivi kila mwanamke utakayekuwa naye atakuwa ni gharama kwako,unaweza ukaoa usiendelee kwani kila utakachopata utakuwa unakitumia for none productive issues.

Jifunze kuwasoma wanawake na kuwatathimini kabla ya kufanya decision kaka.
 
Hivi nyie wanaume mabahili huwa mnalazimishwa? KAMA HUWEZI GARAMA SI UCHAPE LAPA WANAOZIWEZA WATAKUJA??
yani sahivi kukicha mnalia lia utadhani mnashikiwaga bastola kutoa pesa......
ukiona hela huna sepa!!!!hashikiwi mtu manati unazitoa kwa hiyari huwezi KANUNUE SABUNI!!!

chukua tano bi dada.
yaani vijana wa siku hz ni matatizo matupu,kila siku ni full malalamiko as if huwa wanalazimishwa kutoa........km hawezi kutoa awaachie wanaojua kutoa bila malalamiko.
 
hivi hawa wanaume wanaopenda miteremko wana matatizo gani? mbona wakienda hongera bar wanawanunua?

utayaweza basi haya majanaume ya hv,ubahili tu unawasumbua.
wanajidai kupenda na wakati hawana uwezo wa kuhudumia matokeo yake wanakuwa walalamikaji tu......dunia ya sasa kila kitu kinakuwa exchanged na cash.....hlf inajidai kutaka wadada warembo na wakati inakwepa gharama sasa sijui huo urembo utatoka wapi...
 
Siku hizi Pesa = Mapenzi................!:becky:

Kwa hiyo unaona bora ujinyakulie kila siku wa pale sinza.........!
Unacharaza halafu unachapa mwendo...........!
hata Mimi namshangaa sana, kwani hao huko Sinza anawachukua bure?! Mbona hesabu zako mbovu sana
 
we bwana wee acha tu!
yani kiswahili shida kiinglish shida cha nyumbani kwao hakijui!
kila kitu lugha gongana
manake ni kutumiana tu sms za
xana xaxa
cjui km vp m nd najikataa utanikuta pale nimechill nn basi we ndo ucom baana pale kaaati!
loh!

Hakuna kitu kinchonikera kama hivyo viji maneno Snowhite
 
mwali! Kuna mtu alishawahi kuambiwa kama hela yako unaona tamu
chukua noti ya alfu kumi thn iviringishe halafu utie hapo mpka umalize!uuuuwih!
Watu wana mineno jamani!lol!

umeona enh!!!! Kama tamu aile denda kwann bana.
 
Look deep into nature, then you will understand everything better.....
Kama kawa umetema cheche maana sie akinamama mateso kila sehemu kutokana na tendo hilo, kubeba mimba, kuzaa, kunyonyesha etc. Kwa nini mwanaume angalau usichangie kidogo hata kununua pipi ya dada?🙂
 
Kama kawa umetema cheche maana sie akinamama mateso kila sehemu kutokana na tendo hilo, kubeba mimba, kuzaa, kunyonyesha etc. Kwa nini mwanaume angalau usichangie kidogo hata kununua pipi ya dada?🙂


hujambo mrembo?
 
unajikuta mwanaume umeangaika sana, mwenyewe unakiri kwamba inatosha bora nimtafute mmoja nitulie tupange maisha lakini unayoyakuta unaona bora urudi kama mwanza kwa wale watu wale waleeeee unamaliza nao on the spot kila mtu anachukua hamsini zake.kwa mfano utajikuta dem umeanza nae mahusiano kabla ya wiki kitendo cha kuanza kuchat nae kwenye sms kila baada ya sms ni shida mara sim ya mbovu natumia ya nyumbani,mara nitumie hela nina hamu ya nyama choma mara nitumie hela ya kununua mahitaji madogo madogo ya

Kuna wanaume wenye tabia kama hio pia. Mara laptop mbovu nikopeshe pesa ninunue ingine, mara mjomba katiwa ndani naitaji pesa za dhamana, mara rafiki yangu anaumwa inabidi akatibiwe india tumkopeshe hela, mara kampuni ninayo fanyia kazi boss kafa hivo bado sijalipwa nikopeshe,

Utapeli tu hamna lolote
mtu haumjui inakuwaje uombe ombe?
 
Kuna wanaume wenye tabia kama hio pia. Mara laptop mbovu nikopeshe pesa ninunue ingine, mara mjomba katiwa ndani naitaji pesa za dhamana, mara rafiki yangu anaumwa inabidi akatibiwe india tumkopeshe hela, mara kampuni ninayo fanyia kazi boss kafa hivo bado sijalipwa nikopeshe,

Utapeli tu hamna lolote
mtu haumjui inakuwaje uombe ombe?

Unajua inahsngaza alafu inakera kama ukiitafakari kwa umaki. mi Kuna mdada moja simjui haniju alinikuta online akanipa hi akajitambulisha kuwa yeye yuko Soko4 Unve. anaishi moro namnukuuu " Naomba unirushie vocha ya tigo" jibu nililompa anajua mwenywe.

Hivi ninyi akina dada mumekuwaje siku hizi au ndo kusema hali ya maisha ni ngumu
 
Back
Top Bottom