Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Heshima itarudi majumbani sasaWakae nyumbani wapike hapa kazi tu,
Heshima itarudi majumbani sasaWakae nyumbani wapike hapa kazi tu,
Wadai maji, umeme na vituo vya afyaLkn ndio waliowapigia kura nyingi sana hadi kuingia magogoni
Unafikiri hawataki kufaidi kiyoyozi cha kulimo kwanza?Wadai maji, umeme na vituo vya afya
Wanawake ndio wapiga kura wazuri kipindi cha uchaguzi tuwakumbuke kwenye vyeoKuna malalamiko kwamba uteuzi hauja zingatia jinsia , haiwezekana katika ma DAS 137 walio teuliwa wanawake wawe 21 tu . Wakati dunia inataka 50% kwa 50% jinsia zote katika vyombo vya maamuzi inaonekana kuna mipango ya kurudisha nyuma jitihada hizo. Tuishauri serikali yetu tukufu kwani hao wanawake ni 28.7 % .ya walio teuliwa
Mkuu hebu fafanua hilo neno "CHURA" linamaanisha nini hasa, maana ninahisi kama kuna kitu kimefichika nyuma yake.Hii term hatuangalii SURA na CHURA mlizonazo.
Tunaangilia ELIMU na UWEZO wa kwenda na kasi ya HAPA KAZI tu.
Teh! Fanyeni kazi, mlizoea mbeleko za UWT na CCM.
Mlipoambiwa BAWACHA wanapewa viti maalum kwa rushwa mlikuja juuNa aendelee kuwatosa hao kina mama maana walizidi kuishabikia ccm
Na aendelee kuwatosa hao kina mama maana walizidi kuishabikia ccm