ibesa mau
JF-Expert Member
- Sep 17, 2015
- 2,109
- 1,697
Kuna malalamiko kwamba uteuzi hauja zingatia jinsia , haiwezekana katika ma DAS 137 walio teuliwa wanawake wawe 21 tu . Wakati dunia inataka 50% kwa 50% jinsia zote katika vyombo vya maamuzi inaonekana kuna mipango ya kurudisha nyuma jitihada hizo. Tuishauri serikali yetu tukufu kwani hao wanawake ni 28.7 % .ya walio teuliwa