Kwa hiyo wewe unaangalia zaidi short term badala ya long term effects za kujifungua kwa kisu?
Wataalamu wanadai kuwa kama hakuna complications za ujauzito au wakati wa labour, basi virginal birth ni safer zaidi kuliko kisu.
Hawangalii tuu kujifungua salama kwa ujauzizto husika bali pia kwa mimba zijazo. Pia inadaiwa virginal birth ni nzuri zaidi for the woman's future fertility.
Pia usisahau kuwa operesheni zote zinakuja na risk zake. Life style ya mhusika inachangia sana. Kwa mfano, cesarean siyo option nzuri kama mhusika ni overweight, no obese au kama ana magonjwa mengine kama ya moyo.
Halafu kunasuala la attachment. Waliosoma social work watakuwa wanajua nina maana gani. Inadaiwa kuwa wanawake waliojifungua kwa kisu hawana attachment na mtoto kulinganisha na wale waliojifungua kwa njia ya kawaida.
Hii ni kwa sabanu baada ua cesarean mwanamke anakuwa amejikita zaidi kwa yeye kurecover na inaweza kuwa vigumu kwake kuweka focus yake yote kwa mtoto.
"Babies who were born through a non-labor cesarean dont receive the helpful hormone rush that helps them to be alert, feed and bond. They also arent likely to be placed on mother right away, negatively contributing to the problem. Research has shown that mammals whose babies are born by cesarean sometimes reject them."
Source:
The Physical Impact of Cesareans - by Pamela Udy
cc
Sibonike,
bibi.com,
Ms.Lincoln,
The mountain lion,
mahondaw,
Nivea, bona