Wanawake na style mpya ya kujifungua

Wanawake na style mpya ya kujifungua

Salaam,

Kati ya wajawazito 20 wanaofika hospitalini kwa ajili ya kujifungua 16 wanajifungua kwa operation na hii hutokea sana katika private hospital.

Juzi juzi hapa nilisafiri kwenda Kijiji cha mkoa fulani hivi. I was there for two weeks. Nilishuhudia wajawazito zaidi ya saba wakijifungua kwa njia ya kawaida.

Ilinibidi nifanye kautafiti juu ya swala hili la ongezeko mara dufu ya watu wanaojifungua kwa operation . Nilichogundua ni kwamba Vijijini watu kwa asilimia 99.99 hujifungua kwa njia za kawaida na mijini asilimia78.32 ya wanawake hujifungua kwa njia ya operation.

Je hii inaashiria kuwa wanawake wa mijini ni dhaifu kiasi kwamba wanashindwa kujifungua kwa njia za kawaida, ama kuna sababu nyingine?Na je hii haiwezi ikawa ni ujanja wa mahosipitali kujipatia pesa zaidi? kwasababu operation inagarama.

Posho. Sera mbovu sana za serikali ya sisiem. Ungejua madhara ya operesheni baada ya kufanyiwa! ..............
 
Salaam,

Kati ya wajawazito 20 wanaofika hospitalini kwa ajili ya kujifungua 16 wanajifungua kwa operation na hii hutokea sana katika private hospital.

Juzi juzi hapa nilisafiri kwenda Kijiji cha mkoa fulani hivi. I was there for two weeks. Nilishuhudia wajawazito zaidi ya saba wakijifungua kwa njia ya kawaida.

Ilinibidi nifanye kautafiti juu ya swala hili la ongezeko mara dufu ya watu wanaojifungua kwa operation . Nilichogundua ni kwamba Vijijini watu kwa asilimia 99.99 hujifungua kwa njia za kawaida na mijini asilimia78.32 ya wanawake hujifungua kwa njia ya operation.

Je hii inaashiria kuwa wanawake wa mijini ni dhaifu kiasi kwamba wanashindwa kujifungua kwa njia za kawaida, ama kuna sababu nyingine?Na je hii haiwezi ikawa ni ujanja wa mahosipitali kujipatia pesa zaidi? kwasababu operation inagarama.

utafit wako sidhan.kama uliufanya sahihi.kuna sababu nying sana kufanya hivyo yako hiyo ni moja tu.kwanza ndo njia salama lakin je uliuliza kama wana complications za uzazi lakin pia wengi pia hawapend kutanuka chini.
 
Kufanya operation ni biashara kubwa katika hospital siku hizi. Siamini kama wote wanaofanyiwa ilikuwa ni ya lazima. Daktari anahesabu kafanya ngapi hivyo mwisho wa mwezi mshiko unakuwa mkubwa!

Zipo cases ambazo kweli operation ni lazima lakini si nyingi kwa kiwango hicho. Inasemekana kuna akina mama wanaziomba siku hizi. Sijajua sababu yake!
ni kweli wanawake wengi wanaziomba ila hamna kitu napenda kama mwanamke ajifungue kawaida kichwa kipite umweeeeeee,wavute mabega khaa upumue inauma sana sana sana lakini ina hadhi yake kwa mwanamke kuna dada mmja jirani yangu alijifungua kwa kisu kumbe walimpasua kwa makusudi ,akabeba mimba ya pili akiwa anasubiri zile tarehe za kisu zifike akavamiwa na majambazi alipata mshituko nauchungu ukamuuma na alijifungua vizuuuri kabisa kwakusukuma vizuri nikajua haaa kumbe huyu walipiga hela hana tatizo lolote
 
Vyakula wanavyo kula wa mjini vinasababisha washindwe kupush

hakuna wanachezea sana koki ndo maana wanashindwa kupush maana vizipo vishazibuliwa muda tu ..so wakipush ni full kupush maugali
 
Hata mabinti wanaochezewa timu pinzani wanapata tabu sana kujifungua kwa njia ya kawaida so wanafanyiwa upasuaji.

pia kuna ishu kama udogo wa nyonga kwa mwanamke. Au kama hajakomaa viuongo vizur.

wanasingizia tu nyonga ..we manyonga yametanuka kama domo la mamba wanashindwa kupanuka wakatia kuzaa?..tatizo ni kuwa 0714 ... chakavu na seal zimelega ndo maana
 
Kwan? Sera Nzur znafanya watu wajfungue salama

Ili unielewe vizuri ni vema nikufafanulie.
Sera yenyewe inataka daktari na wasaidizi wake walipe posho kwa kila operesheni ya kuzalisha mototo. Hii imewafanya madaktari kupendelea sana kufanya operesheni hii yaani ceaserian section bila kujali uhalali wake, yeye (wao) hujali posho Zhao tu. Operesheni hii huwatia akin a mama ulemavu usioonekana kwa macho na madhara makubwa yenye hatari ya kifo kwa vizazi vinavyofuata. Sitaki nieleze matokeo ya madhara ya operesheni hizo, Fanya utafiti, waulize waliokufa wakati was uzazi walifanyiwa operesheni kabla? Waulize halo akina mama vipi wanajisikiaje name afya Zhao?

JE HII NI SERA NZURI?
 
Hata huko kijijini wangekuwa na choice ya kufanyiwa C-section wangefanya kuepuka complications Wakati wa kujifungua. Most of them hawana so wanafanya natural birth.
 
eti wanaogopa k kutanuka! saa hizo unajitakia ulemavu halafu unamwona mwanaume wako akichepuka na mmama mwenye watoto 3 .ndo mtazidi kuchanganikiwa
 
Mwanamke anayejifungua kwa kisu akiwa hana tatizo ni pumbavu tu labda awe na tatizo sawa na wanakuwa na wavivu na huwa na matumbo kama mapipa coz ni waoga hata kufanyiwa yale mambo ya kukandwa kwa mbali yaani siwapendi hao wanawake hao
 
Wanaogopa mlango kubaki kuwa wazi 24 hrs kama kituo cha polisi na kukosa soko hapa town hivyo kupelekea kufa kwa njaa....
 
mim siwez kubali mpenz wangu ajifungue kwa kupush.

sitak mambo ya kukanga hiyo kitu

kwa upeo wangu wa kufikiri hakuna mtu atataka kujifungua kwa operation kam hakuna matatizo

Vasilisa mzuri umepata jibu??? Jamaa anakwambia yeye mwenywew hawezi kuruhusu wife ajifungue kawaida. Sababu kubwa inayofanya wanawake wengi wajifungue kwa operation ni uoga na wengine kuogopa dude lao kupanuka.
 
ni kweli wanawake wengi wanaziomba ila hamna kitu napenda kama mwanamke ajifungue kawaida kichwa kipite umweeeeeee,wavute mabega khaa upumue inauma sana sana sana lakini ina hadhi yake kwa mwanamke kuna dada mmja jirani yangu alijifungua kwa kisu kumbe walimpasua kwa makusudi ,akabeba mimba ya pili akiwa anasubiri zile tarehe za kisu zifike akavamiwa na majambazi alipata mshituko nauchungu ukamuuma na alijifungua vizuuuri kabisa kwakusukuma vizuri nikajua haaa kumbe huyu walipiga hela hana tatizo lolote

Sabab za wanawake kufanyiwa opareshen ni nyingi kwa mfano,ukubwa wa mtoto tumbon ukilinganisha na nyonga ya mama,mtoto kushndwa kushuka,mlalo mbaya wa mtoto tumbon,kondo kujishkiza kwa chini wakat wa utungaj mimba,na nyingne nying.
Kwel wapo wanaoiomba(opareshen) ila sio wengi. Suala la op ni baada ya mbinu zote za kitaalamu kushndwa
 
Ili unielewe vizuri ni vema nikufafanulie.
Sera yenyewe inataka daktari na wasaidizi wake walipe posho kwa kila operesheni ya kuzalisha mototo. Hii imewafanya madaktari kupendelea sana kufanya operesheni hii yaani ceaserian section bila kujali uhalali wake, yeye (wao) hujali posho Zhao tu. Operesheni hii huwatia akin a mama ulemavu usioonekana kwa macho na madhara makubwa yenye hatari ya kifo kwa vizazi vinavyofuata. Sitaki nieleze matokeo ya madhara ya operesheni hizo, Fanya utafiti, waulize waliokufa wakati was uzazi walifanyiwa operesheni kabla? Waulize halo akina mama vipi wanajisikiaje name afya Zhao?

JE HII NI SERA NZURI?

Mkuu hiyo sera uliitunga wewe?
Jaribu kufuatilia vzur,hiyo sera hapa tz haipo
 
.......Kuna mtu hapa pembeni ananiambia eti sababu nyingine inayosababisha wanawake wa huko mjini kwenu kupigwa mkasi ni kutokana na kale kamchezo kao ka kutumia kutumia mlango wa dharura. Ila mimi siamini kama ni kweli.
 
Vasilisa mzuri umepata jibu??? Jamaa anakwambia yeye mwenywew hawezi kuruhusu wife ajifungue kawaida. Sababu kubwa inayofanya wanawake wengi wajifungue kwa operation ni uoga na wengine kuogopa dude lao kupanuka.
....Mkuu, hao wenye mawazo hayo sio wanawake ni visichana. Tofautisha kati ya wanawake, wasichana na visichana.
 
Salaam,

Kati ya wajawazito 20 wanaofika hospitalini kwa ajili ya kujifungua 16 wanajifungua kwa operation na hii hutokea sana katika private hospital.

Juzi juzi hapa nilisafiri kwenda Kijiji cha mkoa fulani hivi. I was there for two weeks. Nilishuhudia wajawazito zaidi ya saba wakijifungua kwa njia ya kawaida.

Ilinibidi nifanye kautafiti juu ya swala hili la ongezeko mara dufu ya watu wanaojifungua kwa operation . Nilichogundua ni kwamba Vijijini watu kwa asilimia 99.99 hujifungua kwa njia za kawaida na mijini asilimia78.32 ya wanawake hujifungua kwa njia ya operation.

Je hii inaashiria kuwa wanawake wa mijini ni dhaifu kiasi kwamba wanashindwa kujifungua kwa njia za kawaida, ama kuna sababu nyingine?Na je hii haiwezi ikawa ni ujanja wa mahosipitali kujipatia pesa zaidi? kwasababu operation inagarama.

Kwa oparesheni unapunguza sana asilimia za kufa mama au mtoto ama mama na mtoto! Vijijini watu wanakufa sana kuliko mjini!
 
Kama unaweza kujifungua kawaida ni bora kuliko .....anyway kila MTU na mtizamo wake
 
Back
Top Bottom