Wanawake na style mpya ya kujifungua

Wanawake na style mpya ya kujifungua

Wengine ni matatizo. Unakuta mtoto amekaa vibaya anashindwa kujifungua kawaida, ila wengine wanapenda operation.
 
asikwambie mtu mi nipo martenity nimejifungua kawaida. uchungu ni maumivu yasiyoelezeka. i almost gaveup. sitaki kukumbuka.

pamoja na hayo! kisu noma kisuuuuuu! mimi ntajikazaaaaaa nizae kawaida hapana kisu mimi!
 
Wanawake wengi kwa sasa wanajihusisha na mapenz ya kinyume na maumbile so kuzaa kawaida hawawezi kabsa operation kwao ndio njia muafaka
 
may be kwa sababu hawasikii uchungu but kuna risk kubwa sana hawajui tu ...mi nkiwa pregnant kazi mwanzo mwisho kutembea ndio balaa mazoezi sasa ndio usiseme ili siku ya kuderiva robo Saa tu fyuuuu! teh teh..eeee mola nisaidie..

mola atakusaidia.....
 
Of course, ndo maana nikakuuliza wewe kama wewe na siyo kwa niaba ya wengine.

Mimi nilikataa asiwepo maana namjua ana roho nyepesi but alikaa nje ya labour mtt akitoka manesi wanampelekea mtt yeye wa kwanza tumefanya hivyo kwa watoto wetu wote.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
tatizo wengi wao wameshaliwa tgo thats y hawawezi . kisu kinawahusu hao
 
Not necessarily.
Kuna mwanadada mmoja alisema, hawa akina dada wa mjini wanataka wajifungue kwa operation kwa sababu hizi:-
  1. Kukwepa maumivu wakati wa kujifungua
  2. Sehemu yake ya uzazi ibakie intact kama mwanzo (mnato).
Sasa suala la kuhoji ukweli wa nadharia hizo nawaachia ninyi.
Kwenye no. 2 mkuu, Mmmh huo mnato wenyewe kama upo sawa, lakini kama ngoma yenyewe ishakuwa used mpaka elasticity imefika mwisho bora tu ujizalie kawaida
 
Kwenye no. 2 mkuu, Mmmh huo mnato wenyewe kama upo sawa, lakini kama ngoma yenyewe ishakuwa used mpaka elasticity imefika mwisho bora tu ujizalie kawaida


Mtumishi ule mpango bado nausubiri..wajua ile adventure yetu ya mwaka huu?..ha ha! Mzima?
 
Mmh... kama hupajui leba na hujakutana na tatizo kwenye uzazi mshukuru Mungu tu sio kudhihaki wengine.
 
Hii ni kwelina wengine huomba wafanyiwe kabla ya uchungu na ndiyo maana hawana uchungu na watoto mume anasikitika kumbe ni mchongo wao.
 
Salaam,

Kati ya wajawazito 20 wanaofika hospitalini kwa ajili ya kujifungua 16 wanajifungua kwa operation na hii hutokea sana katika private hospital.

Juzi juzi hapa nilisafiri kwenda Kijiji cha mkoa fulani hivi. I was there for two weeks. Nilishuhudia wajawazito zaidi ya saba wakijifungua kwa njia ya kawaida.

Ilinibidi nifanye kautafiti juu ya swala hili la ongezeko mara dufu ya watu wanaojifungua kwa operation . Nilichogundua ni kwamba Vijijini watu kwa asilimia 99.99 hujifungua kwa njia za kawaida na mijini asilimia78.32 ya wanawake hujifungua kwa njia ya operation.

Je hii inaashiria kuwa wanawake wa mijini ni dhaifu kiasi kwamba wanashindwa kujifungua kwa njia za kawaida, ama kuna sababu nyingine?Na je hii haiwezi ikawa ni ujanja wa mahosipitali kujipatia pesa zaidi? kwasababu operation inagarama.

ukitazama KWA makini utaona kunaudhaifu MAENEO haya 1. Vyakula wanavyokula wanawake wa mjini NI vyakula vyenye michanganyiko isiyo asili Mfano.kuku wa kisasa,mayai yake,machungwa,maparachichi yore yakisasa.
2.vipodozi
wanawake wakitanzania Ni wahanga wa vipodozi wa sumu. NA wengi wao ni wa mjini,wanachoma nywele, vipodozi vya ngozi,

3. Maumbile
wanawake wengi ni wafupi HIVYO nyonga zao NI ndogo ambapo hulazimisha madactari kufanya upasuaji ingawa Hakuna sabababu ya moja kwa moja ya uwingi wa wanawake wafupi,LAKINI katika takwimu WATU wengi wanaishi mjini hivyo wanawake wengi wapo mjini na ndio wanaofanya kesi nyingi kuripotiwa
 
Mtumishi ule mpango bado nausubiri..wajua ile adventure yetu ya mwaka huu?..ha ha! Mzima?

Hahaha upo mtumishi. Usitake kunikumbusha wangu maana nikiukumbuka tu nasisimuka kama kwenye lile tangazo la cocacola, unakumbuka yule ndege alivyokuwa anasisimuka bbbbrrrrrrr baada ya kunywa coca baridiiii lol. Shetwani shindwaaa...
 
Back
Top Bottom