Waulizeee. Mimi siwezi kuwajibia hao wenye stress za maisha na marejesho ya kukausha damu.Hela zinaelekea wapi nyie watu? Mtu ana kikoba, ana michezo kedekede lakini bado hana unafuu wa maisha stress zimemjaa, swali n hela mnazozipata mnazipeleka wapi?
Safi sana na utafika mbaliJirani mimi muuza vijora kkoo, nakopa bank naboost biashara yangu..!!
Na pesa zangu zinafanya vitu vya maana. Sijawahi kukopa ili nivae au niringishie watu mtaani, wakinga hatuko hivo..!!
Labda wengine wasiojua nini maana ya mkopo
Wana heka heka sana, hili kundi linapenda sifa sana.
Sasa wewe si tajiri😎Waulizeee. Mimi siwezi kuwajibia hao wenye stress za maisha na marejesho ya kukausha damu.
ila kikobani kukopa ni lazima.
Michezo wanakuja kukujibu wanaocheza.
Nipo Saccoss. Ila sijawahi kukopa, nawekatu… maana sina mahitaji makubwa ya pesa
Anakopa deni kulipa deniUnakuta mchezo umeisha lakini bado ana rejesho la mkopo, hivyo inabidi aendelee kucheza ili alipe rejesho.
Akimaliza kulipia mkopo, kwenye mchezo alishachukua pesa anatakiwa kuwatolea wenzie, inabidi akope tena.
Nayaona haya, na mara zote nawaambia wanachokifanya ni umasikini hawasikii.
Utawaua aisee Kwa haya maswali yakoHela zinaelekea wapi nyie watu? Mtu ana kikoba, ana michezo kedekede lakini bado hana unafuu wa maisha stress zimemjaa, swali n hela mnazozipata mnazipeleka wapi?
Hao nao wapo ,wengine wamama wanakopa wanaenda kihonga vijana ,Yani tukiwa tunakusanya madeni tunasikia mengi ya kustaajabisha Kwa watu usiotegemeaSi ni wengine wanakopa kwa ajili ya Kwenda kumfurahisha bwana(Vacation)
Inategemea na malengo yako kwenye hivyo vicoba, wengine wanakopa pesa ili wakaonyeshe majirani km wao mambo safi..!Na sare za vijora mnawauzia wakavunje vikoba lakini wapi bado tabu iko pale pale, naanza kuamini hivi vikundi vinawanufaisha wachache kuliko wengi.
Nataka nijue tu, nna ndugu yangu ana vikoba, michezo akikutafuta ni hela tu, ikifika time ya kuvunja kikoba hela anapata nyingi tu ila sijui anazipelekaga wapi na ndio ishakuwa kawaida yake ndio maana inabidi nihoji huenda nitapata majibu ya maswali ambayo najua yeye hawezi kunijibu.Utawaua aisee Kwa haya maswali yakounahoji kama mkurugenzi wa upelelezi
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Kumbe jirani upo na madini hivi? Nishakuzoea kwenye emoji za kucheka.Inategemea na malengo yako kwenye hivyo vicoba, wengine wanakopa pesa ili wakaonyeshe majirani km wao mambo safi..!
Wengine wanakopa walipe ada za watoto wanaume wamewatelekeza.
Wengine wanakopa wakafanyie biashara
Mwisho wa safari lazima kuwe na utofauti kutokana na kila mtu alivyojiwekea akiba, ndiomana siku ya kuvunja mtu anaondoka na pesa ndogo kutokana na madeni..!!
😉
Ungemuhoji huyo upate jawabu la ukweli na uhakika.Nataka nijue tu, nna ndugu yangu ana vikoba, michezo akikutafuta ni hela tu, ikifika time ya kuvunja kikoba hela anapata nyingi tu ila sijui anazipelekaga wapi na ndio ishakuwa kawaida yake ndio maana inabidi nihoji huenda nitapata majibu ya maswali ambayo najua yeye hawezi kunijibu.
Pole ila Mungu wetu sio wa kumuachia mikopo.Tajiri wa lakionea 🤣
Pia kuna hii kitu. Unakuta mtu uko zako kikobani, rafki anapata shida anakuomba umkopee. Kwa imani unamsaidia. Laa haulaa, marejesho hakupi. Na ww kule unadaiwa. Nadhan ndo hapo na waume wanakuja kuteseka kumsaidia mke.
Hapo nina mifano hai kibao. Me mwenyewe last year kilinilamba. Mpk dk hii mtu amehold 900k zangu. Kulipa halipi, nimechoka kudai. Nimeachia Sir God ili isiendelee kuniumiza.
Hapo tuko makini sana ,manake chupi ni nyingi sana japo mim binafsi ufuska nishastaafuAngalia TU usiwavue chupi ukafilisika
Nafanyaje? Ila ameharibu sanaPole ila Mungu wetu sio wa kumuachia mikopo.
Hawezi kunipa majibuUngemuhoji huyo upate jawabu la ukweli na uhakika.
Pole ila Mungu wetu sio wa kumuachia mikopo.