Umeona hizo eyebrows... ....nani hapo Mpwapwa anaweza kunifanyia threading......nataka arch shape.......zangu ukiziona utadhani brush lililoisha.......nipo njiani nakuja huko.....
kumbe mwanaume ni dhaifu!fyuuuuuuuuuuuuuuuu ama kweli wanaume viumbe dhaifu sana mwanaume jiaminiiii!!!!!!!!!!!!!!
kj humuonikumbe mwanaume ni dhaifu!
aahhh binamu hapo umenena huo ni mfano wa kuigwa, hizi saluni siku hizi kwa asilimia kubwa zimekuwa kama magulio hasa za Sinza... bora wangekuwa wanapiga umbea tu... afadhali lakini ukijua ya nyuma ya pazia lol.... chichemi[/QUOTE
angalia usijenitusi nduguyo atiii!
mara nyingi wale ndio wauza unga na bangi na dili zote kubwa na ndogo hufanyikia pale, nakumbuka kuna ishu fulani nilikua naitafauta kariakoo basi yule jamaa akanipeleka kwa shoe shiner mmmoja na yeye ndio akatuelekeza kwa mtu, at the end niliamua ku-drop hio dili but kila kitu kilienda swaaafi kabisa....so hawa ni watu wa dili zaidi ili watoto wale, yaani ukiskia wale madeshee wa tauni au misheni tauni ndio hao, asubuhi anaenda job kumbe anaenda kuzuga kwa fundi viatu halafu dili zote za kuuza nyumba, viwanja, magari, mali za wizi, kuchonga mihuri na vyeti bandia zote huishia hapo, take my wordMpwa Elli naona na wewe unaunga mkono mada.
Vipi kuhusu mafundi viatu(shoe shine) kuwa sehemu ya kupigia domo?
mi nimenyoa best ..sitaki shida nikiamua kutokelezea napiga lace wigi langu ahaaa siku inaishaGharama pia zimepanda sana....... mi zimeshanishinda
najinunulia shampoo yangu, drier jua
wengine tukinyoa tutarudishwa grade one.... bora nywele zinatukomaza.mi nimenyoa best ..sitaki shida nikiamua kutokelezea napiga lace wigi langu ahaaa siku inaisha