miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
Mkuu Kasinde
Hata wazazi nyumbani wanawagawanya watoto kwa vizawadi kutokana na jinsia. Mimi nina pacha wangu yeye ni KE, tulivyokua wadogo baba akileta zawadi basi mimi naletewa toy ya kigari na yeye analetewa kimdoli.
Hii inaonyesha dhahiri wadada na magari hasa kutengeneza sio mambo yao, wachache wanafanya.
Nadia,rav4 au harrier sijui nimepatia majina?......lol
Mkuu labda tungejua kwanza hilo gari amelinunua kwa hela halali au kwa "kutokukalia uchumi"!
Eeeh wii unanunuliwa gari? Mumeo anajua?
Hahahaa ntakupeleka VETA my dear upigwe msasa...Sitaki hao vijana wasije wakakuchepua lol!hawajui ujanja unashuka kwenye gari tana kama umependeza wewe unafungua boneti unajifanya unaangalia angalia watakuja wanaume tu..... kama ni pancha unachukua jeki unajifanya kuanza kurekebisha aah bwana wakaka wa mjini wanajisogeza pole pole mtoto wa kike huku unatabasamu ..... wanawake wengi hatujui hata kukagua gari ni basi.... kazi ya wanaume hiii sisi ni kuendesha tu
Habari zenu wapendwa.
Nikiwa njiani leo kuelekea kazini kuna mama mmoja tyroad hand ikaachia tairi ya mbele kulia ikakaa migulu baja.
Nikiwa kwenye foleni mama akawasha hazard na kuchukua kilongalonga probably alikuwa anampigia husband au fundi.
Mbele kidogo nikiwa kwenye hizi barabara za vumbi maana tunapita huko kukwepa foleni njia kuu. Ikapita gari mama mwingine tairi ya mbele kushotoina pancha mama hana habari anakanyaga wese tuu.
Nikajikuta nawaza wanawake wanapenda magari na kuendesha kwa mbwembwe.
Issue inakuja gari ikiharibika inakabidhiwa mwanaume. Ni kudeka au ndo kawaida maana mie gari pancha nabadili mwenyewe, na vitu vidogovidogo.
Au kwakuwa mie sina husband nimejiseti tatizo likitokea ni langu.
Eeh...hufanyi makosa rafiki..nilifikiri ungeanzia kwenye starlet (joke)..
hawajui ujanja unashuka kwenye gari tana kama umependeza wewe unafungua boneti unajifanya unaangalia angalia watakuja wanaume tu..... kama ni pancha unachukua jeki unajifanya kuanza kurekebisha aah bwana wakaka wa mjini wanajisogeza pole pole mtoto wa kike huku unatabasamu ..... wanawake wengi hatujui hata kukagua gari ni basi.... kazi ya wanaume hiii sisi ni kuendesha tu
hivi kwa nini mnapenda kuwadharau na kuwadhalilisha mama zenu. Thank god mama angu anafanya zaidi ya hayo.
Jamaa linakusaidia bila malipo, na ili kujifanya mstaarabu zaidi ht hakuombi number, huku moyoni anaumia balaa kwa kukutamani....
Umepatia kabisa....mi nafikiri Harrier inakuhusu hapo....
mi nilidhani atataja vitz lol