sii papuchi inakuwa haijapata jasho so full maraha kwenda chumvini
Hivi gari kitu gani bana.... mbona mnatokwa povu???? Siku hizi magari mbona kawaida tu.... Au mnadhani wanawake wote wenye magari wamenunuliwa poor you!!!!!
Kwani imeandikwa wapi wanaume pekeyao ndio wanapaswa kumiliki magari????
Khaaaa.... mtuwache tupumuweee miaka 900 .... Sosi cacico
Mwenzangu hivi dunia ya digital mtu anasakama mwanamke na gari?gari kitu gani bwana kwanza kununua gari si issue issue ni kulifanya litembee barabarani from january to dec. tuwapotezee mumy
Yaaani mwanamme ukiwa na gari mademu wanajileta wenyewe kama vile mbwa kamuona chatu.
Mi mwenyewe nilifundishwa hivyo chuoni VETA majani mapana Tanga nilipokuwa nasomea udereva mwaka 1998 ambapo mkufunzi wetu mr Paschal Demello siku za jumamosi tulipokuwa tunasoma theories alituambia kwamba ukiwa unaendesha gari utapendwa sana na kina dada,kwa hiyo alituusia tuwe makini.
Hata sasa ofisini kwetu madereva wa ofisi yetu wanatesa kwa kuwa na mademu wakali sana kulipo sisi maofisa. ukiwauliza wanawapataje wanakuambia kutokana na STK. chezea gari wewe!!
Hao mademu washamba tu vipi unakubali kwa kwa mtu anadrive gari, tena la STK au yale ya biashara ingali unajua fika yeye si mmliki bali ni mwajiriwa..
miwatu wazima wenye pesa zao walikuwa wanaizungumzia gari yangu kwa hiyo msituchoshe hapa hata nyie mnashoboke magari ya wanawake tena kwa maneno ya wivu
True...wengi hawataki kuamini kuwa wadada pia wanaweza kuwa successful, bila kuhongwa!Umenifurahisha. Wanaume wana wivu sana wakiona mdada kawapita. Hata ukipata kazi nzuri wanaona huna lolote utakuwa ulihongwa tu. Ukiwa na gari nzuri napo hivyo hivyo. Dawa kuwapa jibu wanalotaka. Mie ukiniambia saa yako nzuri, najibu 'nimehongwa' manake najua discussion itaishia hapo!
waungwana kumekuwa na msemo kwamba asilimia kubwa ya kina dada wanapenda sana magari kiasi cha kwamba ni rahisi kwa binti au mwanamke kuingia kwenye mahusiano kwasababu amemuona mwanaume ana gari. je ni kweli dada zetu wanapenda sana magari? na kama ndio ni kwasababu gani?
Hata ukiendesha ile morgue van (chezea benzi?) unapendwa tu hehehe. Nini stk, mi nashoboka hata kwa dereva wa ambulance ama bajaj!
Yaaani mwanamme ukiwa na gari mademu wanajileta wenyewe kama vile mbwa kamuona chatu.
Mi mwenyewe nilifundishwa hivyo chuoni VETA majani mapana Tanga nilipokuwa nasomea udereva mwaka 1998 ambapo mkufunzi wetu mr Paschal Demello siku za jumamosi tulipokuwa tunasoma theories alituambia kwamba ukiwa unaendesha gari utapendwa sana na kina dada,kwa hiyo alituusia tuwe makini.
Hata sasa ofisini kwetu madereva wa ofisi yetu wanatesa kwa kuwa na mademu wakali sana kulipo sisi maofisa. ukiwauliza wanawapataje wanakuambia kutokana na STK. chezea gari wewe!!
Umeona eeh! Hatusikii kingine ni wanawake ....magari,waulize basi magari yenyewe wanayotunyanyasia asie na VITZ ana Starlet!!!
Hebu watuache tupumue!