Habari wana Jf.?
Enyi wanawake mliowapa na mnatazamia kuwapa wanaume wenu limbwata...
Inakuweje unampa limbwata mume wako hadi limbwata ya kutowapenda na kuwasaidia ndugu zake hata wazazi wake
Jirani yangu kafanyiwa hii, kiuchumi yuko safi sana, ni mfanyabiashara hotel, maduka pia mfanyakazi International org fulani, mke wake ndie msimamizi wa kila kitu,
wadogo zake wawili ni machinga wa dawa za kunguni. Kaka zake 3 ni wakulima wa jembe la mkono, Kijijini kwao amewajengea wazazi wake kibanda cha laki kama 6 huku yeye anaishi kwenye jumba la kama 500M, nasikia wazazi wake chakula kwao ni shida. Majuzi kaenda kijijini kwao ila kafikia kwa wakwe zake, hakufika kwa wazazi wake..
Eeekh.! Mungu niepushe limbwata isinipate..

Mkuu wakati mwingine sio limbwata ni ubinafsi. Pia usisahau kuna mtu anampenda mkewe kiasi kwamba kila mke anachopendekeza hukubali. Na pia usisahau kuna wanaume wanawaogopa wake zao kila mke anachotaka yeye hutekeleza. Halafu usisahau kuna wanawake wengine wanawapa waume zao mambo Fulani (siku hizi munaita tigo). Nasikia kuna wanaume wanachanganyikiwa wakishaonjeshwa mabo kama hayo na kujikuta ni akina ndio mzee.
Jirani hodari wewe!!maamuzi yote ya kifamilia na kikazi anaamua mwanamke.. Nasikia hata baba yake akimwomba hela anamwambia subiri kwanza nimuulize mke wangu.. Akikubali nitakulushia.!
watu kama nyinyi ndio wenye majungu mitaani, muone,,
inakuwaje unafuatilia maisha ya mtu kiasi hcho?!
Huna hata aibu jitu zima kuspy maisha ya mwanaume mwenzako kuanzia anavyolala,anavyoongea na watu, mpaka safar zake?
Ww una mapungufu mangap?
Ww umetimiza kila kitu?
SKU ZOTE MDA WA SIKU HUWA HAUTOSHI HIVYO HAINA HAJA KUANGALIA MAMBO YA WENGNE ANGALIA YA KWAKO..
SI wakomae na wao kutafuta,sasa wewe unataka bro ndo alishe ukoo mzima?