Wanawake muweke wazi hili

Wanawake muweke wazi hili

Sio situation zote mwanaume huambiwa hivyo, kama unafuatilia kwakuwa kuna some sort of red flags its good for you, tena fuatilia tu maana thats yo life.

Lkn kwakuwa tu kijiweni umeambiwa wanawake hawaaminiki na haujawahi ona tatizo lolote kati yako na mwenzio huko ndiko kutokujiamini.

Au ile kila aina ya mwanamke unadiss, ooh madaktari wanaliwa sana, oooh walimu cheap,oooh mama wa nyumbani chakula ya house boy,mara haujakaa sawa mwanamke msomi ana dharau!! sasa wataka oa malaika? Basi muumbe.
safi atoto
 
Back
Top Bottom