Nimejikuta nacheka daah kuna watu na viatu.
Anyway kwa sababu yenu mnapenda chuchu saa sita mfano uwoya hapo keshanyonyesha kitu wala hakijambembea sana kumbe kaenda kwenye hayo machuma vidume kutwa kumsifia. Kina chuchunge kutwa kuibuka na shepu mpya mpya basi wananzego wanasifia pisi kali.