RAGNAR LOTH
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 698
- 1,613
- Thread starter
-
- #81
Ni pm namba ya mkeo nikusaidie kumfurahisha mi cyo mwanaume wa dar, nipo matombo morogoro vijijin..atafurahi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahhha mkuu kazi ipoHuwezi kushindana na ulipotokea utakuwa unajisumbua bure mara mbegu za matikiti mara supu ya pweza mara vumbi la congo utaambiwa ule kinyesi cha paka utakula shida yote ya nini
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu uchokozi huuuuHawakawii vijana kukutahadharisha kihusu mkeo siku akimpata mtaalamu wa kumsindikiza kwa vionjo japo kwa dakika 15 murua.
Ongeza mkuu nakushauri,dakika nne ni chache mno,zinawafaa ndege tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji12] [emoji12] usimuite bhanaMama la mama, Naweza kukaa hata miaka bado nimechomeka tu kwa sababu najua kucheza na akili ila sitaki mavumbi, na mke wangu hapendi nikomae na papuchi yake hadi nimchubue, dk 5 tosha, Au nimwite ushuhudie??
Hawakawii vijana kukutahadharisha kihusu mkeo siku akimpata mtaalamu wa kumsindikiza kwa vionjo japo kwa dakika 15 murua.
Ongeza mkuu nakushauri,dakika nne ni chache mno,zinawafaa ndege tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitamuonea wivu bure[emoji41]Haya nimeacha
maisha yanabadilika itafikia hatua watataka kuandaliwa masaa 6,, hapo na njaa itaanza kuuma mara utapga mihayoHizi tunaita fikra potofu.
Mimi napinga hii kauli yenu wanaume kusema mtavunjwa viuno.
Pia huo mimi naita ni uchoyo, ubinafsi, na kutojali kumbuka mwanamke naye ni binadamu na hisia za mwanamke huchelewa kupanda na hata kufika kileleni naye huchelewa kwa hiyo inahitajika kumuuanda mapema kisaikolojia tangu asubuhi na usiku mkafanya mapenzi kwa kuridhishana,
Kuna tabia ya wanaume ambayo wamekariri kuwa ni lazima upige bao nyingi ndio mwanamke aridhike hapana kikubwa ni maandalizi mazuri unaweza kupiga bao moja tu kwa muda mrefu na mwanamke akaridhika kabisa.
Pia mwanamke huandaliwa kwa dakika 40 mpaka saa 1
hata mtakapo ingia mchezoni hakika ataridhika.
Nitamuonea wivu bure[emoji41]
Ungekuwa hujashindwa usingeleta malalamiko hapaUnisaidie vipi sasa Mkuu? Sijakwambia nimeshindwa ila nataka nikuonyeshe kama naweza kukaa hata miaka nimechomeka ndo mana nikasema uje nikujaribishe
Ungekuwa hujashindwa usingeleta malalamiko hapa
Kama unaweza kukaa miaka 'umechomekwa' nitakuja mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo akili ya kuushurutisha ubongo inatoka kwenye organ gani ya mwili!?? Nauliza tu.
Baba yasi unanisingizia
Mkuu umedadavua vema sana nina swali dogo hivi hayo mavumbi ya kikongo yanamadhara kiafya?(PUTULUU)Kumezuka wimbi la hadithi nyingi za kutokuridhishana kingono wake kwa waume miaka ya hivi karibuni. Nimeona kushirikishane ujuzi juu ya hii dhana potofu na wana MMU.
Kwanza kabisa tujue jambo moja kwamba aina yeyote ile ya jambo likiwemo kuridhika (satisfaction) kibaolojia na kisaikolojia mzizi wake unaanzia kwenye ubongo (brain). Kwa maana hiyo basi ubongo ndio unaratabu kila aina ya maridhisho ( satisfactions ) na dereva pekee wa brain yako ni wewe. Ukitaka ubongo wako uamuru mwili uridhike mwili utatii, na vilevile ukitaka ubongo uamuru mwili usiridhike mwili utatii vilevile.
Walalamikaji wengi wa kutoridhishwa kingono hasa wanawake ni kwamba wameuamuru ubongo wao kutoridhika na vilevile mwili utaitikia kwa kutoridhishwa. Unaweza kungonoka na wanaume saba at once still bado usiridhike.
Kuna moja ya thread ilikua inasema " Hivi wanaume kwenda chini ya dakika 30 mnajielewa kweli ".
Ni kwamba huyu mwanamke ameu condition ubongo wake kwamba chini ya dk 30 haridhishwi hata kama atasuguliwa vipi chini ya hizo dakika hawezi ridhika, Kwa style hii wanawake mtatuvunja viuno.
Kwa wanaume sasa wakishasoma thread kama hizo wanapanic na kujihisi wana tatizo kama wanaenda kwa dakika chache ndipo Mavumbi ya Kongo yakavumbuliwa. Kwa wanawake nao wakisoma hizo thread wanaiambia akili
" Kusuguliwa chini ya dakika 30 kumbe hakuridhishi " akili kazi yake kutii tu utakavyojiambia, Michepuko inashamiri na ndoa kuvunjika kunapamba moto, na biashara ya sex toys inaingiza mapato manono na kulishana papuchi kunashamiri
Hii cycle ya kudanganyana inaendelea tu, wengine tunabaki watazamaji tu. Madhara makubwa yanatupata wanaume kwa kutumia madawa yasioeleweka tukidhani tiba kumbe tunalipua....!!
Wito kwa wanaume wenzangu
Tuungane kwa umoja wetu tuvunje hii cycle, Sugua dakika 5 kojoa, Geuka ukutani ..... Watatuuwa washenzi hawa, tutatalishwa papuchi hadi tushibe. Mke wangu mimi dakika nne nyingi ananisukuma hataki tena .... Wewe uliyeoa kahaba mcheza porno asiyeridhika endelea kubwia mavumbi uvumbike ipasavyo na bado utagongewa kwa kigezo cha kutoridhisha ....
Mkuu umedadavua vema sana nina swali dogo hivi hayo mavumbi ya kikongo yanamadhara kiafya?(PUTULUU)
Sent using Jamii Forums mobile app