imma.one
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 542
- 37
Wanawake jamani si mtatumaliza walianza :-
1.kuvaa nguo kuonesha mistar ya chupi.
2.kuvaa nguo kuonesha chupi yanyewe had rangi.
3.kuvaa kata ***** then chupi,shanga ama cheni kuwa nje.
4.kuvaa sidiria flani maziwa yote nje.
5.kufaa vishanga mguuni wana maana yao.
Huku kitaa wanatongoza wanaume hadi bac jamani mkitulia tutawafuata tu hatuzi ishi bila ninyi kwanini mtuwekee mazingira magumu.JIHESHIMU UHESHIMIWE