Wanawake mmekuwa wachafu sana siku hizi

Wanawake mmekuwa wachafu sana siku hizi

ZigiZaga

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2011
Posts
957
Reaction score
1,080
Wanawake: Fanyeni usafi wa nguo za ndani sio nje tu!

Aise ni noma sana! Sitakusahau wewe dada uliyeharibu siku yangu jana.

Kuna mudada mmoja nilikutana nae jana barabani, yani ukimwangalia mavazi yake kwa nje ni ninadhifu tena kaumbika kiasi chake, mwanaume nikarusha ndoano, nikaloa. Kwenda gesti sasa, hapo ndo mambo yakaaza kuaribika.

Yayayayaaa! Yaani nje no msafi nguo za ndani sasa aisee! Alianza kuvua pensi ikaja taiti, akamalizi na chupi yaani vyote hivi vilikuwa vichafu balaa! Chumba ghafla kikabadilika kwa harufu kali yenye uvundo, nilinywea, sikua na hamu tena ngoma ikalala kabisa.

Nilivyochunguza kwa makini kumbe hata ile Tait ilikuwa nyeupe imeshabadilika rangi, pale mbele sasa huuu! puuu! Chupi kwa ule chino imeshalika kabisa.

Wadada jamani fanyeni usafi na nguo za dani jamani siyo nje tu! Mwanamke mazingira jamani! Sina hamu tena! Puuu!
========

Chapisho hili ni kwa kila mwanamke. Soma na jirekebishe haraka sana.

Wanawake wetu wa miaka hii wamekuwa wachafu kupindukia. Wachafu sana. Huwezi kufanananisha wanawake wa miaka ile ya 70 na 80 na wanawake wa sasa. Wanawake wa sasa wananuka kupita kiasi. Huwezi kumkumbatia mwanamke bila kusikia harufu aidha inatokana na jasho, au uvundo wa wigi au harufu ya kope za bandia au harufu ya mdomo.

Ukianzia kwenye nywele ndio unaweza ukalia. Kati ya asilimia 90 ya wanawake wote mawigi yao yananuka vibaya. Ndio maana kutwa kujikuna kichwani. Hata umkute mwanamke star au ni kiongozi kwenye benki, nywele zake lazima zinuke. Sijui wanaambiana.

Sasa hebu mnuse mwili wake. Harufu ya jasho kali huwezi kulikosa. Hata apake perfume vipi, kuna kale kaharufu ambacho hakiondokagi...kapo tu...kabishi.

Sasa kwa wale wanaopende denda...duuu...hapa ndio huwa pananichekesha. Sijui wanawake hawajui kupiga mswaki sawasawa. Sio kwamba hawapigi mswaki...bali wanapiga juu juu tu. Midomo ya wanwake asilimia 95 inanukaaaaa.

Kubwa lao ni hili sasa. Mwangalie mwanamke vizuri usoni halafu fananisha ngozi yake ya usoni na ngozi ya mguuni. Unaweza kulia. Hamu yote ya mwanamke inaisha ukimwangalia miguu yake. Yaani picha haziendi. Huku juu kama mtoto aliyezaliwa...huku chini sasa...utafikiri mfanyakazi wa migodini anayefanya kazi peku. Kama unajitunza, jitunze mwili wote, sio sura tuu.

BADILIKENIIIIII.

Hasa nyie mnaojifanya ma first class women. Badilikeni. Mnanuka sana na mnakera. Na mabya zaidi asilimia 95 ya wanaume wote wanashindwa kuwaambia ukweli.

Nimeshanunulia wasichana zaidi ya watano Deodorant eti wanasema hawazijui lakini ukiwaangalia viwalo unazimia.

Nimefundisha wasichana na wanawake karibu wanne kupiga mswaki ulimi watu wanadhani mswaki ni meno tu lakini kinachonuka zaidi ni gum na ulimi ule ukakasi unaozaliana pale. Wanawake wengi walikuwa hawanyoi vikwapa hata wanaonyoa hawajioshi vizuri.

Mimi ni mwanamke ila nalisema hili sababu linauma. Unakuwa na mtu kwenye ndege hasa wa Tz na West Africa unatamani uombe kuhama kiti. Wananuka. Ndege ikifika kama JF inabidi immigration wavae vitu vya harufu sababu ya watu toka huku. Tunatia aibu na siyo wanawake tu. Wanaume nao sana tu. Ukisafiri na mwanamme akipanua mikono unatamani kutapika. Miguuu nadhani huwa soksi wanaazima ili wasafiri. Umelianza wewe ila nilikuwa nalo toka zamani.

Jamani unapopanda daladala hakikisha kikwapa kimeoshwa na deo, ulimi na gum zimeoshwa vizuri. Hakikisha kama ulikula nyama umezitoa kwenye meno ni kwa faida yako pia na wanaokaa karibu nawe kazini na kwenye usafiri.

Kujipodoa ndo kunazidisha shida. Hivi lazima kuvaa wig?? Hivi lazima kuvaa kope za bandia? Labda umri wangu unachangia lakini na mimi nilitokea huko lakini sikuvaa wig na nilikuwa na uwezo wa kuyavaa. Mengine mwende kwa kungwi wenu.
 
Dah wanaume siku HIZI Tumekuwa na tabia za kimbeya mbeya Sana ishu binafsi kama hizo KAa nazo mwenyewe unataka SISI tutoe Ushauri au maoni Gani wakati tukio limekutokea wewe na limekuathiri wewe.. Ndo maana Sasa hivi naskia wanaume wanaitana shilawadu kumbe ndo hizi tabia ambazo sio za kiugwana zimekuwa Sana hasa maeneo ya pwani. Badili Tabia ishu ambazo hazina tija zipotezee..
 
JAMBO ambalo unajua lipo (uchafu) wewe Unajifanya kama ni kitu kigeni Dah sio fresh mwanaume mwenzangu
 
Kutembea na mwanamke mchafu inaweza kukuasiri KISAIKOLOJIA kama kupoteza hamu ya tendo la ndoa ,
ILEPICHA HUJENGEKA kichwani na husababisha dyudyu kushindwa kusimama ,
IMEWATOKEA WENGI SANAA,

MKUU JICHUNGUZE KAMA ULIMGEGEDA
Basi unahusika hapo juu
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
 
Miongoni mwa vitu vinavyokera mwanamke kuwa mchafu hii kitu inaboa xana mm nilikuwa arusha nikaawa na demu flani amazing km mnavyowajua mademu wa kiarusha, warefu,weupe with sexy body.
Balaa likaja siku niliokutaka nae, nilichukua hotel nzur room Laki moja tukapanda lift hadi juu yaani room ina balcony.
Huyu Demu alivyokuwa mzur ckutegemea km ningemkuta kwenye hali ile yaani Papuchi inatoa harufu km (Store ya Nguru) mbaya zaidi kuna ule mtari uliotoka uti wa mgongo hadi matakoni ulikuwa mweusi kwa uchafu yaani gemu ilinishinda kabisa
 
Aise ni noma sana!

Sitakusahau wewe Dada ulieharibu siku yangu Jana!

Kuna mudada mmoja nilutana nae Jana barabani, yaan ukimwangalia mavazi take kwa nje ninadhifu tens kaumbika kiasichake, mwanaume nikarusha ndoano, nikaloa. Kwenda gesti sasa, halo ndo mambo yakaaza kuaribika! Yayayayaaa! yaani nje no msafi nguo za ndani sasa aise! Aliza kuvaa pensi ikaja taiti,akamalizi na chupi yaani vyote hivi vilikuwa vichafu balaaa! chumba ghafla kikabadieika kwa harufu Kali yenye uvundo, nilinywea,sikua na hamu tens ngoma ikalala kabisa!
Nilivyochunguza kwa making kumbe hats ile Tait ilikwa nyeupe imeshabadirika rangi, pale mbele sasa huuuuuuuu! puuuuuuu! chupi kwa ule chino imeshalika kabsa.

Wadada jamani fanyeni usafi na nguo za dani jamani siyo nje tu! Mwanamke mzingira jamani! Sins hamu tens! puuuuuuuuuuu!
Sawa.
 
Kutembea na mwanamke mchafu inaweza kukuasiri KISAIKOLOJIA kama kupoteza hamu ya tendo la ndoa ,
ILEPICHA HUJENGEKA kichwani na husababisha dyudyu kushindwa kusimama ,
IMEWATOKEA WENGI SANAA,

MKUU JICHUNGUZE KAMA ULIMGEGEDA
Basi unahusika hapo juu
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]

alaf shombo zingine nuks mnoo laweza kukuganda siku tatu
 
Unaandika kama hiyo ID yako mkuu, jamani tuwe tunachagua ID nzuri maana......
 
Miongoni mwa vitu vinavyokera mwanamke kuwa mchafu hii kitu inaboa xana mm nilikuwa arusha nikaawa na demu flani amazing km mnavyowajua mademu wa kiarusha, warefu,weupe with sexy body.
Balaa likaja siku niliokutaka nae, nilichukua hotel nzur room Laki moja tukapanda lift hadi juu yaani room ina balcony.
Huyu Demu alivyokuwa mzur ckutegemea km ningemkuta kwenye hali ile yaani Papuchi inatoa harufu km (Store ya Nguru) mbaya zaidi kuna ule mtari uliotoka uti wa mgongo hadi matakoni ulikuwa mweusi kwa uchafu yaani gemu ilinishinda kabisa


HAHAHAHAH KAKU UNDERRATE HUYO Ungekuwa wa maana angeosha fresh na mawaxing ya maana wadada wa chuga wanajiandaa kulingana na mwenyeji wake so jitaid kujiongeza
 
mwanamke anaejua kununua sabuni yake fresh ya elfu tano kwa week na kujipiga scrub elf kumi kwa week anapaka loshion ya elf 70 kwa mwezi bado madiko kama bio oil ya 40 elf asali,nazi fresh ,nk una hadhi ya kukutana nae barabarani na kumpeleka gest hapo hapo kweli?
huyo ulokutana nae ndo hadhi yako amekukubali apate hata hela ya kununua sabuni akafue .
 
Back
Top Bottom