mbona hapo ulipo hakuna kelele, upo wapi?
Nipo ofisini
una ratiba gan leo na ctaki uende kuangalia mech ucku
Kwani wenger ndio kocha wa chelsea? Na huyu drogba yeye anadakia timu gani?
baby kwani man u ni timu ya wapi?
"The number one" swali korofi kwa wanaume..Swali linalonikera kuliko yote ni kuulizwa uko wapi na unafanyaje kwa nini hutaki kurudi nyumban mapema
umelala na nani?
eti mbwa dume ulinipendea nini Mimi?
eti mbwa dume ulinipendea nini Mimi?
Ukiulizwa huwa unamjibuje au ndio anakuongezea uchovuumetoka wapi? swali la kijinga kabisa hili we shukuru nimerudi salama sio tena nianze kuhadithia nilipokuwa.
Ni lazima nijue kama hajala nimtumie pesa,pia ni muhimu nikajua rangi ya chup yake ,halafu kama simu yake iko bize kila saa lazima nihoji,hayo masuala ya ndugu zake natakiwa nisolve mimi sio yeyeHata wanawake nasikia huwa hawapendi maswali ya kipuuzi kutoka kwa baadhi ya wanaume. Kitu kama
1. Baby umekula leo!?
2. Hivi umevaa kyupi rangi gani leo?
3. Utanipa leo?
4. Simu yako biiiize. Unaongea na nani zaidi yangu!?? ( (ebooo...kwani hana ndugu!?)
mpendwa hilo swali linanikera sana..Kwa siku naweza kuulizwa hata mara 20
Mbona hupokei simu zangu?