falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,213
- 9,334
- Thread starter
- #21
"Hivi unaweza ukachepuka na mm nipo kweli?"
Hehehe something wrong hapo
"Hivi unaweza ukachepuka na mm nipo kweli?"
Unafanya nn??...Uniamini???
Make sure unamwambia na swali unalopenda kuulizwakila cku naulizwa hili swali? unafanya nini? ngoja leo nimvunjie ukimya nmwambie kuwa silipendi
kila cku naulizwa hili swali? unafanya nini? ngoja leo nimvunjie ukimya nmwambie kuwa silipendi
Make sure unamwambia na swali unalopenda kuulizwa
Mtaulizwa tu mtake msitake
eti mbwa dume ulinipendea nini Mimi?
Unataka kunifanya nini?
Uko na mahawara zako eeh?
We unataka gangster love?umevaa nini? SIPEEEEEEENDIII MIMI!!! mapenzi wa tamthilia za kikorea siyawezi ,et umevaa nini??
hatujibu mkiuliza hahahahaha
Na muulizwe tu maana hakuna namna.