Wanawake msituulize maswali haya

Wanawake msituulize maswali haya

Yaan maswali ni muhmu,, hutaki na mi ucniulze kama hayo.
 
Umekula? Silipendi swali hili jamani aaagghhh... Sasa bila kula si ningeshakufa?
 
Nauliza hivi, mwanaume asiye na maneno ya kimahaba huwa anamaanisha nini? Yaan kwake gf/ mkewe ni sawa na watu wengine tu. Anavyoongea na gf wake ni sawa aongeavyo na watu baki
 
Jamani ya dunia mengi, mnapoulizwa mko wapi mtu anataka kujua usalama wako kila siku mnaona watu wanauliwa mara ajali, ni vizuri mwenzio ajue uko upande gani wa mji.

Siyo kweli wengi ni wivu tu na wasiwasi wa kuibiwa
 
"Mbona naskia sauti kama ina mwangwi (echo) au uko lodge!??

Daaaah hilo swali linanikera sanaa asee
 
Nilishampiga chini asee,.. nlistuka mapema maana si<script id="gpt-impl-0.0440034419298172" src="http://partner.googleadservices.com/gpt/pubads_impl_73.js"></script>jawahi mpeleka lodge alikua anakuja kwangu,.

Siku lazima angekuuliza mbona unanukia harufu ya kondomu
 
Back
Top Bottom