The Boss, ulikuwa unaongea na nani????ulikua unaongea na nani?
huko uliko kuna umeme?
Tanesco nao watavunja ndoa za watu
Yaani shida ya hili swali ni kuwa usipojibu vizuri unajishtaki
so hata linakuboa inabidi utoe jibu la kueleweka...usionekane unaficha kitu..
Swali la kimtego hili..... Na kuna uwezekano baadae simu yako ikakaguliwa kimya kimya ili kuhakiki kama ni kweli uliyemtaja ndiye ulokuwa ukiongea nae.
ole wako ukutwe umefuta dial calls zote....
kesi mpya inaanza ha haa
Lakini ni jukumu lako kumnunuliaMi cpendi sana wakati wa kugegedana mtu aanze kukumbushia ahadi za kununuliwa smati foni
huko uliko kuna umeme?
Kwani wenger ndio kocha wa chelsea? Na huyu drogba yeye anadakia timu gani?usiende taifa leo kila siku mpira tuuu ,huwa ananikera wife hapo tuu
Yaani shida ya hili swali ni kuwa usipojibu vizuri unajishtaki
so hata linakuboa inabidi utoe jibu la kueleweka...usionekane unaficha kitu..