Mvella jr.
Member
- Jan 31, 2015
- 48
- 9
Hili hata mimi mkuu, unaweza ukawa unaongea na simu za michongo ya hela, anakuuliza unaongea na nani? Pum***vu!!!
Uko wapi??
umevaa nini? SIPEEEEEEENDIII MIMI!!! mapenzi wa tamthilia za kikorea siyawezi ,et umevaa nini??
Mtaulizwa tu mtake msitake
Anakukata stimuHili hata mimi mkuu, unaweza ukawa unaongea na simu za michongo ya hela, anakuuliza unaongea na nani? Pum***vu!!!
Kweli hilo swali ni miyeyushoMpenzi umeenjoy?apo baada ya kugegedana,sas unaulizaje swali km hili na wakati ulikuwa unaniona kabisa nlivokuwa napagawa wakati nagota nyama.