Alivyomleaje na wakati yeye analelewaInategemea na ulivyo mlea....na hulka yake.
Kuna umuhimu wa mwanamke kukuogopa.
Na Mimi kwa mbaaaliUnafokewaje na mwanamke.mimi mwanamke pekee anayeweza nifokea ni Mama kipenzi,labda na bibi na mashangazi baas
Labda unifokee faragha/chumbani ukiwa na kanga moko tena zile lainiii hapo ntakuwa mpole
Msitufokee mbele za marafiki,inawezekana unamlea mwanaume umsitiri basi kama unataka kudumu naye,.
Mi ukinifokea naenda kununua kamba dukani,nafunga kwenye mti halafu naanika nguo.
Hahahahaha kanga laini.!!! Ili nikikufokea ufanyaje?Labda unifokee faragha/chumbani ukiwa na kanga moko tena zile lainiii hapo ntakuwa mpole
Nakuskiliza uongee mpaka hasira zako ziishe then mkono mmoja nakamata kiuno nakusogeza karibu tartiib,then kama nlikukosea nasogeza kinywa skioni mwako nakuomba radhi kwa kukunongoneza na maneno lainiii,hujakaa sawa tayari mkono wapili upo kifuani vidole vinapress chuchu juu ya khanga,usipotulia hapo tena bas utakuwa unatafuta shariHahahahaha kanga laini.!!! Ili nikikufokea ufanyaje?
Vumilia tuu hakuna namna maana umekubali kulelewaHuna nia nzuri na mimi
Yeye ndiye analelewa na huyo bibie, avumilie tuuInategemea na ulivyo mlea....na hulka yake.
Kuna umuhimu wa mwanamke kukuogopa.
Hahaaaa. Maneno kuntu.Ukijua kuanika hizo nguo ujue na kufua pia, sio kujitia umaridadi kuanika zilizokwisha kufuliwa
Kama hivyo anastahili na ikibidi na magoti pia apige kuomba msamaha.Wamekusikia, ila kama anakulea kufokewa na tumakofi huba ni sehemu ya malipo ya kulelewa.[emoji125]
Usiyasikize sana yatakupagawisha mkuu. Ndoa hazifanani.Kila mwanaume aliyeoa analaumu sana huku mitandaon....huku n kutuogopesha ambao bado hatujaoa jmn....inamaana wanawake wamekuwa wakorofi siku hz au??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaaaa usijali sikufokei tenaaaa[emoji28] [emoji28] [emoji28]Msitufokee mbele za marafiki,inawezekana unamlea mwanaume umsitiri basi kama unataka kudumu naye,.
Mi ukinifokea naenda kununua kamba dukani,nafunga kwenye mti halafu naanika nguo.