Wanaoombag Kaz mnawapa!?Kuna mwanamke kaniomba sh elfu 40 akasuke nywele sasa nikaiwazia hiyo pesa kwa haraka haraka.
Elfu 40 nanunua mifuko mi 3 ya smenti.
Elfu 40 nanunua kuku wa 3 wanene.
Elfu 40 nanunua units 116 za umeme.
Elfu 40 nanunua mapazia mawili.
Elfu 40 najaza gesi mtungi mkubwa.
Basi baada ya kuithaminisha hiyo hela nikamuuliza nisipokupa itakuwaje akanijibu kama unanipenda utanipa.
Basi bana ile kuna dem mwingine ambaye naye yupo chini ya himaya yangu aliwahi kuniomba elfu 50 ya mtaji wa juisi ya matunda. Nahisi huyu wa juisi kapata.
Mwanamke kama huna kazi muombe mpenz wako akutafutie kazi au kabiashara sio akupe pesa usuke fuvu lako ufiche kisogo. Nywele zenyewe sio zenu hata aibu hamuoni.
Ni hayo tu.
Mbona jamaa muwazi kasema mwingine aliomba 50 ya kwenda kuifanya mtaji wa juice akapata .......Soma kuelewa sio kubishaWanaoombag Kaz mnawapa!?
Unampa kazi ya kumgegedaWanaoombag Kaz mnawapa!?
Wewe bado kufungwa tu minyororo miguuni na shingoni ieleweke moja kuwa wewe ni mtumwaHata akiwa na kazi bado ni jukumu lako kumtumia hela ya kusuka na mizinga yenye ukubwa wa aina mbali mbali [emoji125][emoji125][emoji125]
Hii fact haiwezekani tukatengeneza jamii ya wanawake ambao wao hata kusuka tu nywele zao lazima wapigwe miti huu ni upumbafu ...Kuna mwanamke kaniomba sh elfu 40 akasuke nywele sasa nikaiwazia hiyo pesa kwa haraka haraka.
Elfu 40 nanunua mifuko mi 3 ya smenti.
Elfu 40 nanunua kuku wa 3 wanene.
Elfu 40 nanunua units 116 za umeme.
Elfu 40 nanunua mapazia mawili.
Elfu 40 najaza gesi mtungi mkubwa.
Basi baada ya kuithaminisha hiyo hela nikamuuliza nisipokupa itakuwaje akanijibu kama unanipenda utanipa.
Basi bana ile kuna dem mwingine ambaye naye yupo chini ya himaya yangu aliwahi kuniomba elfu 50 ya mtaji wa juisi ya matunda. Nahisi huyu wa juisi kapata.
Mwanamke kama huna kazi muombe mpenz wako akutafutie kazi au kabiashara sio akupe pesa usuke fuvu lako ufiche kisogo. Nywele zenyewe sio zenu hata aibu hamuoni.
Ni hayo tu.
Ni kweli mkuu alafu anavyoiomba kwa fujo utadhani yake.Hii fact haiwezekani tukatengeneza jamii ya wanawake ambao wao hata kusuka tu nywele zao lazima wapigwe miti huu ni upumbafu ...
Yaani tunatengeneza kizazi Cha wanawake wazembe hasaaa....yaani mtaani utakuta binti wa miaka 20 na zaidi yaaani Hana kazi itakayo mfanya apate hela ya kununua pedi yake.
Yaani binti Hana uwezo hata wa kujinunulia pedi yake mwenyewe ...kifupi Hadi apigwe miti siku kabla ya kuingia period ili apate elfu tano tu ya ped
Ila mijanamke ilivyo mipoyoyo pamoja na hii mijanaume mitwatwa inayo sifia kila ujinga wa mwanamke itakuona wewe umeongea ujinga
Jamani tuungane kukumea hii tabiaa ya kumtengenezea mazingira jamii ya wanawake kuwa tegemezi .....yaani wenye hakuna anacho weza kufanya bila kusuguliwa uchi wake.
Kumpa kazi na kumpa hela ya mtaji na kumpa hela aliyoomba Ni vitu vitatu tofauti! Ukimpa hela kwa madai mtaji akarud umpe Tena kafilisika. Na kumpa hela akasuke zikifumuka akirud Tena [emoji848][emoji848] . Kumpa hela na kumpa mtaji wa hela ni kitu kimoja ila kimemeguliwa kihojaMbona jamaa muwazi kasema mwingine aliomba 50 ya kwenda kuifanya mtaji wa juice akapata .......Soma kuelewa sio kubisha
Et fuvu ha haKuna mwanamke kaniomba sh elfu 40 akasuke nywele sasa nikaiwazia hiyo pesa kwa haraka haraka.
Elfu 40 nanunua mifuko mi 3 ya smenti.
Elfu 40 nanunua kuku wa 3 wanene.
Elfu 40 nanunua units 116 za umeme.
Elfu 40 nanunua mapazia mawili.
Elfu 40 najaza gesi mtungi mkubwa.
Basi baada ya kuithaminisha hiyo hela nikamuuliza nisipokupa itakuwaje akanijibu kama unanipenda utanipa.
Basi bana ile kuna dem mwingine ambaye naye yupo chini ya himaya yangu aliwahi kuniomba elfu 50 ya mtaji wa juisi ya matunda. Nahisi huyu wa juisi kapata.
Mwanamke kama huna kazi muombe mpenz wako akutafutie kazi au kabiashara sio akupe pesa usuke fuvu lako ufiche kisogo. Nywele zenyewe sio zenu hata aibu hamuoni.
Ni hayo tu.
Subiri wakuzukie utaukimbia Uzi mkuu japo Kuna ukweliKuna mwanamke kaniomba sh elfu 40 akasuke nywele sasa nikaiwazia hiyo pesa kwa haraka haraka.