Rashda Zunde
Senior Member
- May 28, 2022
- 199
- 231
Rais Samia Suluhu anaendelea kuwaaamini wanawake kwa kuwateua katika nafasi za uongozi, ili kuleta usawa wa jinsia katika kutoa uamuzi.
Kitendo cha kuongeza idadi ya wanawake katika uteuzi wa wakuu wa mikoa na makatibu tawala, ni uthibitisho kuwa Rais anatoa fursa .
Ili kuendelea kuaminiwa na kupata nafasi za juu za uongozi waliopewa nafasi katika uteuzi wa Rais Samia Suluhu wanatakiwa kufanya kazi kwa bidii, maarifa na wasimuangushe mama kwani dunia inatambua mama yuko kazini hivyo wanapaswa kuungana naye katika kuleta maendeleo ya nchini.