Wanawake msijirahisishe kwa wanaume ili muolewe

kujiachia sio shida, ila kwanza msome huyo unayejiachia nae. Kama hajawa na mawazo ya kukuoa acha kwanza. Angalau atoe mahali kwenu wamtambue. Usiuachie mwili wako ukawa uwanja wa mazoezi!
 
Moyo wa mtu kichaka huwezi kujua kilichomo ndani ya moyo wake.
 
kama ni kichaka kichunguze kama kuna nyoka kimbia. Bora ufyeke kichaka kuliko kuvamia kumbe kuna chatu au watu wamekigeuza sehemu ya haja kubwa!!
 
Back
Top Bottom