Apologise lady
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 5,980
- 3,115
Malezi ya watoto mara nyingi yapo kwa mama ni ngumu baba kujua kuwa mtoto wazazi wengi wa kiume huondoka nyumbani asubuhi na kurudi nyumbani jioni ni ngumu kugundua kama mtoto anateswa.
usiombe kulelewa na mama wa kambo wana visa wale.
Kama mnajua hayo, ndio muache kuwazaa nje ya ndoa, ukimpa mtu mimba oa.