Apologise lady
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 5,980
- 3,115
Mkuu utakuwa na matatizo si bure kwa hiyo unashabikia uzinzi na madada zetu wanavyozaa nje ya ndoa kwa tamaa za mda mfupi nakusababisha wimbi la watoto nje ya ndoa na kuwanyima haki zao msingi ama wewe umezaliwa kwa style hiyo, huwezi ukawa na akili timamu ukashabikia ujinga na wimbi la watoto wa mtaani!!!
Wewe ndio hamnazo haswaaa!!!!! aliyekwambia chanzo cha watoto wa mitaani ni mwanamke ni nani?????????
Jichunguze upya, kuna wanaume wangapi wameishi na wake zao katika ndoa na wakazaa hata watoto 4 na kisha kuwatelekeza???????
Lazima hakuna mwanamke anaetelekeza mtoto, ila kuna wanaume mamilioni wasio na akili kama wewe wanaodhani jukumu la mtoto ni mama ndio wasababishaji wakubwa wa watoto wa mtaani.
Njoo mjini useme ni dada gani mwanae anaranda randa barabarani kuomba omba kama sio wadada wenu wa huko vijijini mnaowaoa na kuwazalisha kisha nyie mnakimbilia mjini, watoto wanakosa matunzo wanaamua kuunga tela kuja mjini. ( ukinithibitishi mtoto mmoja tu anayeomba ambaye mama yake ni mwanamnuke ya mujini nakurecharge airtime)
MSISITOZO: Nimezaliwa katika ndoa takatifu na mbichi kabisa, nikiangalia ile ndoa naona kama wameoana jana. hii hainizuu kueleza ukweli kulingana na mfumo wa jamii tuliopo.
Huo uzinzi unaojifa unauhate, nyie ndio wazinzi namba moja alafu mnajifanya mnauchikia.