mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 25,058
- 82,012
Hali ya sasa kwenye sekta ya mahusiano ni mbaya sana kusema kweli. Kina dada mnachagua sana wanaume, naweza sema kwenye asilimia 100 wanaohitajika hawazidi asilimia 20.
Hivo vigezo sasa;
1. Uwe na urefu wa futi 6 kuendelea.
2. Uwe na mshedede wa inch 6 kuendelea.
3. Kipato chako kiwe na sifuri 6 kuendelea.
*Ukiweza ongezea na ka "6 pack" ka uchokozi😂.
Sasa jamani, sisi wengine wafupi, hatuna hela, walala hoi tufanyeje?
Hata ukipata mwanamke yaani, ujue tu utashare na muhuni mwingine mrefu na mwenye hela.