Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,351
Tuambieni jamani wanawake ukiona ID yanani humu unaanza kupata hisia za mapenzi sema tu basi tujue siri sio nzuri.
Naombeni mushuke
Naombeni mushuke
Ila hutajwiNgoja waje
Zawadi ya upendoNikitajwa utanipa nini![]()
Zawadi ya upendo
Nimeagizwa na wakina Mwachiluwi anataka kujua kama anapendwaMaua umetumwa?![]()
Wewe mbona nimekutaguta af umekaa kimyaMaua umetumwa?![]()
😜😜😜😜😜😜Maua umetumwa?![]()
Wewe mbona nimekutaguta af umekaa kimya
PmWapi bro umenitafuta?
Ahahaha kashajua au badoNimeagizwa na wakina Mwachiluwi anataka kujua kama anapendwa