Wanawake mnataka nini ili mtulie?

Wanawake mnataka nini ili mtulie?

jidanganye tu na movie zenu za tamthilia

love ni overrated, smart people wanaelewa hilo..

kama unaamini katika love feelings fatilia maisha ya kina newton, trump, muswati, magufuli, k lyn, na wengineo wengi..

ndio maana nikasema love ina sababu.. na sabab kubwa ni benefits tu.. sio feelings za kijinga kwa mtu makini...

vipi mbona umetoka povu kwenye jiwe gizani.. na wewe ni used mwenzangu nini..

kama ni used mwenzangu.. pigana sana uwe na benefits .. hapo utapendeka..

ila kama ni papuchi used karib kila mwanamke anayo.. sizan kama mtu makini anaweza zuzuka nayo akupende hasa... kama ipo haijatumika hapo una haki ya kumsumbua mtu smart yeyote

Hahahaha FYI love hainaga sababu sijui cha ziada sijui cha nini, anaweza tokea bikra huyo usifeel chochote na akaja mapepeee huyo hana cha ziada chochote wala lolote na ukaingia mzimaa mzima, With love yani hata usiseme never t can happen
 
jidanganye tu na movie zenu za tamthilia

love ni overrated, smart people wanaelewa hilo..

kama unaamini katika love feelings fatilia maisha ya kina newton, trump, muswati, magufuli, k lyn, na wengineo wengi..

ndio maana nikasema love ina sababu.. na sabab kubwa ni benefits tu.. sio feelings za kijinga kwa mtu makini...

vipi mbona umetoka povu kwenye jiwe gizani.. na wewe ni used mwenzangu nini..

kama ni used mwenzangu.. pigana sana uwe na benefits .. hapo utapendeka..

ila kama ni papuchi used karib kila mwanamke anayo.. sizan kama mtu makini anaweza zuzuka nayo akupende hasa... kama ipo haijatumika hapo una haki ya kumsumbua mtu smart yeyote
I see ushakata tamaa kupendwa for who you are,poleh sana,huna tofauti na mtoa mada akidhani magari yangetuliza mke...usijali someday t will happen to u mana that's ur need unaisugarcoat tu hapa wt lyrics abt benefits,
I declare interest, ni used and loved,habar za benefits sijui kitu gani for what..
 
Kuna wanawake hata ukiwafanyia hayo yote , ni sawa na Kazi bure.

SIRI IKO HIVI.

Shetani hapendi kabisa mwanadamu amusujudie na kumuabudu Mungu , wala apate muda wa kutosha wa kuwa karibu na Mungu Muumba (katika Kristo Yesu)

Sasa hapa , huwaingia wanadamu wengi walioko kwenye mahusiano, na kumfanya mmoja wapo amuabudu na kumsujudia mwenzake kama Mungu mtu. ( Hatua hii humfanya mmoja wapo kuharibiwa, kuibiwa destiny yake + kuibiwa kipaji chake) . Mara nyingi sana shetani hupitia kwa wanawake.

Kumbuka, hakuna mwanamke anayeridhika hapa Duniani isipokuwa yule ambae kaamua kwa dhati kuzifuata njia za Kristo Yesu.

Kwahiyo, hata ukiwa fundi Mkuu wa kusex, kuhonga, kujali, n.k kama huna hofu na Mungu ni kazi bure.

Vile vile wanawake au wanamme usiokuwa na hofu na Mungu mara nyingi sana huwa na tabia za kuwajaribu wenzi wao wenye mahusiano Bora na Mungu ili kuwafanya wasimtumikie na kumuabudu, bali waabudiwe na kutumikiwa wao badala ya Mungu
 
mi nawaeleza ukweli.. I have everything to attract any woman..

na nashukuru nilishalitambua hilo mapema kwamba love ni overrated kama anavyosemaga lara 1 na huu ni ukweli mchungu..

na nakumbia kama kaka yako au kama rafiki yako.. time will tell.. ipo siku huyo aliyekukuta used atakugeuka hadi utashangaa.. najua utashangaa why amebadilika.. na hutapata majibu.. na majibu sahihi yatakuwa ameshtuka why huyu used aniumize akili..

na usiombe siku akakutana na mtu alietunza hekalu la Mungu... hapo atakuwa kama kaokota dodo chini ya mnazi.. lazima asepe kwa fujo..

narudia tena na tena mwanamke aliemzawadia mume wake bikira tu... ndio ana e deserve kumuumiza mwanamme wake kichwa.. ila kama hana lazima awe na outstanding benefit

I see ushakata tamaa kupendwa for who you are,poleh sana,huna tofauti na mtoa mada akidhani magari yangetuliza mke...usijali someday t will happen to u mana that's ur need unaisugarcoat tu hapa wt lyrics abt benefits,
I declare interest, ni used and loved,habar za benefits sijui kitu gani for what..
 
Kweli unaweka hoja ya kusifiwa wakati umeshaolewa, the men too wans weakness zao kwa hiyo usiposifiwa ndo uchepuke, sababu za kijinga tu. Wanawake wanatamani pia kama wanaume.
 
mi nawaeleza ukweli.. I have everything to attract any woman..

na nashukuru nilishalitambua hilo mapema kwamba love ni overrated kama anavyosemaga lara 1 na huu ni ukweli mchungu..
U have everything to attract a materialistic woman not a ride or die type of woman, hujawahi sikia mwanaume kosa hela ujue tabia ya mkeo??
Mwanaume ukishakua mambo safi usijisifu sana mana ni ngumu kujua who is real n who is not na yumkini wajichimbia shimo,omba Mungu akupe atakae kuthamini hata siku huna mia
 
ndio maana nikasema kipimo kikubwa cha a real woman ni alietunza hekalu la Mungu..

mtu aliepuka vishawishi ni kipimo tosha cha a die type of a woman..

mtu hekalu lake tu aliepewa na Mungu kashindwa litunza.. anaanzia wapi kutunza Moyo wa mtu mwingine?

U have everything to attract a materialistic woman not a ride or die type of woman, hujawahi sikia mwanaume kosa hela ujue tabia ya mkeo??
Mwanaume ukishakua mambo safi usijisifu sana mana ni ngumu kujua who is real n who is not na yumkini wajichimbia shimo,omba Mungu akupe atakae kuthamini hata siku huna mia
 
ukweli ni kuwa, mke nyumbani hafati chakula, magari ndugu zangu, ndoa inajengwa na kumbinua mkeo, hacha kumuonea uruma mbinue mpaka akojoe, itokee emegency kuwa labda kuna mambo hayapo sawa ndo umuache ila km mzima na mnampunga km wa mshikaji mbinue mkeo.mkojoze mnadhani JIDE Angekaa na Gadner kama hamkojozi? miaka 15? je wazaz wenu wana mda gani kwenye ndoa jiulizeni? mnafikiri mama zenu wanafanya kwa baba zenu ni kwa sababu tunawakojoza vizuri we unaesoma hapa jiulize una umri gani, ila mimi na mamako bado tupo pamoja unafikiri mimi nampa nini zaidi ya dudu?
 
mwanamke hata umbinue vipi... kama akili yake haijaamua kutulia hawez tulia...

kutulia kwake ni kunaanzia akilini kwake...

ukweli ni kuwa, mke nyumbani hafati chakula, magari ndugu zangu, ndoa inajengwa na kumbinua mkeo, hacha kumuonea uruma mbinue mpaka akojoe, itokee emegency kuwa labda kuna mambo hayapo sawa ndo umuache ila km mzima na mnampunga km wa mshikaji mbinue mkeo.mkojoze mnadhani JIDE Angekaa na Gadner kama hamkojozi? miaka 15? je wazaz wenu wana mda gani kwenye ndoa jiulizeni? mnafikiri mama zenu wanafanya kwa baba zenu ni kwa sababu tunawakojoza vizuri we unaesoma hapa jiulize una umri gani, ila mimi na mamako bado tupo pamoja unafikiri mimi nampa nini zaidi ya dudu?
 
MIE NISHATEMBEA SANA NA WAKE ZA WATU ILA WATAMU SANA WANATOA SIRI ZOTE ZA WAUME WAO HADI NAWAZA KWELI NTAOA MIE KAMA NAGONGA WA WENZANGU NAMIE SI NITAGONGEWA
 
Hawa kina Jesika hua hawajulikani nn wanataka
 
MIE NISHATEMBEA SANA NA WAKE ZA WATU ILA WATAMU SANA WANATOA SIRI ZOTE ZA WAUME WAO HADI NAWAZA KWELI NTAOA MIE KAMA NAGONGA WA WENZANGU NAMIE SI NITAGONGEWA
Usiogope kugongewa mkuu' maana muda Sio mrefu utagongwa wewe mwenyewe mtungo na picha zako za video za wanaume wakishidindili piston zao kwenye hiyo block yako zitasambaa mitandaoni na hapo utakuwa umevuliwa manhood rasmi. Uwezo wa kukimbia mkoa huna kwani mikoani wanawake hawalei Serengeti boys. Be careful huo sio ujanja wa kutangaza mbele ya wanaume wenzio'. Tafuta mshiko ugonge hadi bikira .
 
Mie huwa nafikiria walioenda Shule ndio wabovu zaidi kuliko hata darasa la 7, OTE="Sirini, post: 16468086, member: 367131"]Kuna wakati huwa nafikiri, pengine mwanamke hakuumbwa kwa ajili ya mwanaume mmoja[/QUOTE]
Mie
 
Usiogope kugongewa mkuu' maana muda Sio mrefu utagongwa wewe mwenyewe mtungo na picha zako za video za wanaume wakishidindili piston zao kwenye hiyo block yako zitasambaa mitandaoni na hapo utakuwa umevuliwa manhood rasmi. Uwezo wa kukimbia mkoa huna kwani mikoani wanawake hawalei Serengeti boys. Be careful huo sio ujanja wa kutangaza mbele ya wanaume wenzio'. Tafuta mshiko ugonge hadi bikira .
NILIJUA TU UTAKUJA HAPA HIVI UNAJUA KUWA MWANAMKE UNAPOMTOGOZA HAKUAMBII KAMA YEYE NI MKE WA MTU ILA BAADA YA PENZI KUNOGA NDIPO HUFUNGUKA
 
Kutulizwa kivipi mkuu?
kutulizwa ni mfano: mwanammke mwenyewe anapo amua kabisa kutoka moyoni kua sasa nataka kuolewa nikatulie na mume wangu sitaki kuhangaika tena..
akajipa kiapo nitatulia na mume wangu sababu nmeshachoka kuranda randa sioni faida yoyote..

huyu ndo mwanammke anaetaka kutulizwa
ukioa huyu atatulia kwa 7bu ametaka mwenyewe kutulizwa kwa hiari yake/kiapo chake ndani ya nafsi yake
 
mi nawaeleza ukweli.. I have everything to attract any woman..

na nashukuru nilishalitambua hilo mapema kwamba love ni overrated kama anavyosemaga lara 1 na huu ni ukweli mchungu..

na nakumbia kama kaka yako au kama rafiki yako.. time will tell.. ipo siku huyo aliyekukuta used atakugeuka hadi utashangaa.. najua utashangaa why amebadilika.. na hutapata majibu.. na majibu sahihi yatakuwa ameshtuka why huyu used aniumize akili..

na usiombe siku akakutana na mtu alietunza hekalu la Mungu... hapo atakuwa kama kaokota dodo chini ya mnazi.. lazima asepe kwa fujo..

narudia tena na tena mwanamke aliemzawadia mume wake bikira tu... ndio ana e deserve kumuumiza mwanamme wake kichwa.. ila kama hana lazima awe na outstanding benefit
Outstanding benefit unamaanisha hela
 
Back
Top Bottom