Wanawake mnataka nini ili mtulie?

Wanawake mnataka nini ili mtulie?

Aiseeee mm niko tofauti mwanaume akishakuwa na life lake la maana, pili anajari, tatu mawasiliano ya karibu( reasonable communucation na msafiiiiii. walai siwez msalti hata kama ana kibamia nitavumilia. Kwan tango sh ngap? Mia tatu tuu! Mm tofauti. Oh mara dushe refu mara nn kwangu havina maana akishatimiza hayo
 
Jamani inakera!!! Inakera sana. Au tuanzishe mamlaka ya udhibiti wa ndoa Tanzania??
Ngoja niwape kisa chenyewe.
Kuna mdada mmoja yuko kwenye ndoa mwaka wa 6 huu sasa. Ana mume ni afisa wa serikali ambaye ktk awamu ya JK alikuwa akienda nje mara nyingi kama vile wewe na mm tunavyoenda bafuni kuoga. Kwa awamu hii ya JPM bado jamaa safari za mkoa kwa mkoa hazikatiki. Ana make pesa ya kutosha ktk mishe yake hiyo. Huyu dada aliolewa akiwa ****** kama ***** lkn mshikaji kampromote mpk mwaka jana kamaliza degree.

Nyumbani kwa mahikaji kuna gari NNE za kufanyia mitoko. Mara nyingi 3 huwa anazunguka nazo mke, maana mume hupendelea kuitumia mojawapo kwa masafa.

Sasa ndugu zanguni juzi kakutwa laivu akigegedwa na mshefa (mfanyakazi mwenzie). Ni mchovu tu hana chochote kainua kifua kwa kunyanyua vyuma visivyo na viwango.

Ndugu, jamaa na majirani tukaitwa kwenye mjadala huo. Dada hana anachojibu. Anabaki kumtupia mzigo shetani.

Daah! Inauma! Eeeh! Acheni jamani.

Mm nimekata tamaa kabisa. Kama dada anabadili gari kulingana na nguo aliyovaa, halafu anasaliti vipi mie kabwela ninayechekelea magari ya mwendo kasi? Nitaishia kuyasifu kuwa ni uroda na mke wangu ataliwa uroda.

Kazi ipo.....!!! Nimekumbuka ule msemo wa "If wishes were horses beggars would ride"....
 
Fedha sio upendo.

Hayo mambo ya ndoa magumu.
Labda huyo mume mtarimbo wake haufanyi kazi
Mdada wa watu afanye nini tu? Au labda hampendi tena.

Anyway nisiingilie. Wanajua makosa Yao wenyewe.
 
Kama mume safari ndiohizo kama za bafuni atatimiza saa ngapi majukumu ya kindoa? Wacha wengine wamsaidie majukumu mengine.
 
Kwani huyo mdada aliolewa na hayo magari anayobadilisha kila siku?, kitu ambacho mwanamke anakihitaji zaidi kwa bwana yake ni *ATTENTION* hakuna kingine

Utajaribu kila kitu bado haitasaidia, huwa wanataka ambacho hakipo, this is interesting, na ukikifanikisha watataka kingine ambacho hakipo, hawa ni kuwakabidhi tu kwa Mungu na kuwapenda vyema, hata wakitoka nje ya ndoa usione mzigo/Hukumu kumpiga chini.
 
Fedha sio upendo.

Hayo mambo ya ndoa magumu.
Labda huyo mume mtarimbo wake haufanyi kazi
Mdada wa watu afanye nini tu? Au labda hampendi tena.

Anyway nisiingilie. Wanajua makosa Yao wenyewe.
Word of the day. Fedha siyo upendo, lakini kuna scenarios nyingi tofauti tofauti kulingana na situation!!!
 
Jamani inakera!!! Inakera sana. Au tuanzishe mamlaka ya udhibiti wa ndoa Tanzania??
Ngoja niwape kisa chenyewe.
Kuna mdada mmoja yuko kwenye ndoa mwaka wa 6 huu sasa. Ana mume ni afisa wa serikali ambaye ktk awamu ya JK alikuwa akienda nje mara nyingi kama vile wewe na mm tunavyoenda bafuni kuoga. Kwa awamu hii ya JPM bado jamaa safari za mkoa kwa mkoa hazikatiki. Ana make pesa ya kutosha ktk mishe yake hiyo. Huyu dada aliolewa akiwa ****** kama ***** lkn mshikaji kampromote mpk mwaka jana kamaliza degree.

Nyumbani kwa mahikaji kuna gari NNE za kufanyia mitoko. Mara nyingi 3 huwa anazunguka nazo mke, maana mume hupendelea kuitumia mojawapo kwa masafa.

Sasa ndugu zanguni juzi kakutwa laivu akigegedwa na mshefa (mfanyakazi mwenzie). Ni mchovu tu hana chochote kainua kifua kwa kunyanyua vyuma visivyo na viwango.

Ndugu, jamaa na majirani tukaitwa kwenye mjadala huo. Dada hana anachojibu. Anabaki kumtupia mzigo shetani.

Daah! Inauma! Eeeh! Acheni jamani.

Mm nimekata tamaa kabisa. Kama dada anabadili gari kulingana na nguo aliyovaa, halafu anasaliti vipi mie kabwela ninayechekelea magari ya mwendo kasi? Nitaishia kuyasifu kuwa ni uroda na mke wangu ataliwa uroda.
Sasa jamaa kutwa kuchwa yuko kwenye masafa kikazi, akirejea nyumbani yuko hoi kwa michoko ya masafa, kama mke hamuogopi Mungu shetani lazima ampitie ampeleke kwa mkojozaji.
 
Wanaume wengi huwa wanadhani akishaweza kumweka mwanamke ndani amemaliza kila kitu. Na mwanamke nae anapoenda kuolewa anapenda kukuta mambo kadhaa kwa mume.
1. Anategemea mume amjali. Katika kujali mwanamke anataka uwe karibu nae, upige nae stori kwa sababu adui mkubwa wa mwanamke ni upweke.
2. Anategemea uwe na pesa, kwa sababu hawapendi shida shida ktk maisha yao.
3. Anategemea mume ayaweze mapenzi kitandani, hawapendi kabisa mwananaume legelege au asie na mda na mapenzi na asie taka kukaa karibu yake. Ukiyaweza hayo utakuwa umeweza kuishinao kwa akili. Kwa bahati mbaya asilimia kubwa ya wanaume hawapendi kukaa na wake zae na wala hawana mda nao.
 
ha ha ha hela.mnataka na kukojozwa mnataka.pia.. na attention mnataka.pia... hao wanaume muwaumbe wenyewe..

kwa maoni yangu mimi mwanamke anae deserve everything ni aliyempa mume wake zawadi ya bikira tu..

kama tumekutana.wote used hata afanyeje anipasui kichwaa.. akisepa unaweka ndani mwingine...

watasumbua wanaume wasiojitambua tu..

kwanza sex and love is overrated

kama mshikaji hajui kupiga shoo dada wa watu afanyaje au unadhani hayo magari au pesa za mumewe ndiyo zitamkojoza???
 
ha ha ha hela.mnataka na kukojozwa mnataka.pia.. na attention mnataka.pia... hao wanaume muwaumbe wenyewe..

kwa maoni yangu mimi mwanamke anae deserve everything ni aliyempa mume wake zawadi ya bikira tu..

kama tumekutana.wote used hata afanyeje anipasui kichwaa.. akisepa unaweka ndani mwingine...

watasumbua wanaume wasiojitambua tu..

kwanza sex and love is overrated

kwani bikra inaongeza nini ama inapunguza nini kwenye maisha???? au inakupa zigo la dhahabu???
 
Back
Top Bottom