Wanawake mnataka nini ili mtulie?

Wanawake mnataka nini ili mtulie?

haijalishi inanipa nini.. ila ni heshima kwake kama ameweza kustahimili hisia zake hadi ndoa.. basi ana deserve kumsumbua kichwa aliemuoa...

ila mtu aliovua kufuli kila sehemu ni changudoa tu asiye na soko maalum ( japo huwezi mwambia wazi girlfriend wako ila kama hana bikira wanaume karibu wote wanawazaga hivi kichwani mwao))... so hawezi umiza kichwa mwanaume yeyote mjanja kichwa zaidi ya mjinga mjinga..

ndio maana siku hizi used wanaoolewa au kusumbua wanaume vichwa ni wenye benefits tu. labda awe mambo safi kwao au awe kichwa sana.. unajua watoto watapata goodmind... but mtu used sio genious darasan wala sio mambo safi kimaisha.. utamsumbua nani akili

mimi mwenyewe used.. why used mwenzangu nimpe everything wakati hana chochote outstanding..

kwaza love and sex ni overrated.. hata wanyama wanafanya.. binadamu tu wasio na akili wameikuza vichwan mwao

hii ni kwa wanaume smart wote.. wameliweka hili kichwani..

kama papuchi kila mwanamke duniani anayo.. so atanisumbua kichwa kwa kipi cha ziada??

kwani bikra inaongeza nini ama inapunguza nini kwenye maisha???? au inakupa zigo la dhahabu???
 
Muhanga mwingine huyu wa kupigwa chini na mademu, sasa amejaa chuki tupu, acha hizo mbona Wanawake watu wazuri tu tafuta saizi yako!
1465585193560.jpg
 
Kuwa na pesa na kuwa na muda na mkeo (sex) ya kueleweka sio unarundika ela tu wakati ujui kafata nn kwako
NM ukiwa na ela upigi shoo ya maana kapuku atakusaidia na pesa yako atapewa kama asante kwa kunikojoza
Na ukiwa unakojoza huna ela wenye ela watakusaidia (kwa mwanamke asiye kua na hofu ya mungu)
Ama kweli hata wewe wasema hivo?
 
80% ya wanawake ni malaya na wabinafsi pia wanaroho mbaya sana ndio maana hata wao hawapendani
Dah ndugu kumbuka una Dada na mama/wadogo kwa wakubwa. Kauli yako tata kidogo ila pole kama umeshawahi kuumizwa kumbuka huku duniani hamna malaika wamejaa mashetani so tusamehane na kuombeana rehema na Neema Kwa Mungu. Tuvumiliane tu maana ndo viumbe tunao watoa matumboni mwetu
 
haijalishi inanipa nini.. ila ni heshima kwake kama ameweza kustahimili hisia zake hadi ndoa.. basi ana deserve kumsumbua

ila mtu aliovua kufuli kila sehemu ni changudoa tu asiye na soko maalum... so hawezi umiza kichwa mwanaume yeyote mjanja kichwa zaidi ya mjinga mjinga..

ndio maana siku hizi used wanaoolewa au kusumbua wanaume vichwa ni wenye benefits tu. labda awe mambo safi kwao au awe kichwa sana.. unajua watoto watapata goodmind... but mtu used sio genious darasan wala sio mambo safi kimaisha.. utamsumbua nani akili

mimi mwenyewe used.. why used mwenzangu nimpe everything wakati hana chochote outstanding..

kama papuchi kila mwanamke duniani anayo.. so atanisumbua kichwa kwa kipi cha ziada??

ooooh .. "kumbe wote used kumbe wote machangudoa tofauti jinsia huyu changudoa wa kike huyu mwingine changudoa wa kiume na wote hawana soko".

Bora na Bora mwenziye, Kibovu na Kibovu chenzie
 
Iv mwanaume anavyo kua na nyumba ndogo ni sawa ila mwanamke sio sawa! Wote wanatakiwa kujieshimu na kujua kila mtu anapaswa amueshimu mwenzie
 
Hawa watu hawaelewek kabisa sababu haziish ni wakuwazilisha tu sio kuoa.
 
yap wote machangudoa tu..

ndio maana nikasema why akusumbue kichwa??

na bahati nyingine changudoa mwingine yeye ndio mwamuzi wa mambo mengi.. jamii na jinsia inambeba...

na lingine pia changudoa mwingine wapo wachache duniani kuliko changudoa mwingine..

so ana advantage kwenye game ya uchangudoa

ooooh .. "kumbe wote used kumbe wote machangudoa tofauti jinsia huyu changudoa wa kike huyu mwingine changudoa wa kiume na wote hawana soko".

Bora na Bora mwenziye, Kibovu na Kibovu chenzie
 
Kwani huyo mdada aliolewa na hayo magari anayobadilisha kila siku?, kitu ambacho mwanamke anakihitaji zaidi kwa bwana yake ni *ATTENTION* hakuna kingine
Moe attention na usimpe gari ataliwa na bodaboda
 
Kumbuka mapnz so pesa, may b huyo mwanaume chumban n zgo na mwanamke dam bado inachemka, af mi nashindwa kuwaelewa nyie wanaume hv we una uhakika gan kama huyo mme wake na safar zote zile alikua hachepuki?? Kwnn iktokea mke kachepuka mnatoa lawama nyiing bt kwenu nyie mnacngzia tamaa why??
Hujajua kwa nini tunatoa mahari katika ndoa, so na nyinyi mukitoa mahari hatutojali mukichepuka
 
Hainaga ushemeji tunakulaaagaaaa....Zamu ya nani leo Zamu Ya ManFooongo...Zamu yako itakuja kesho usikonde bahari waaangu...
 
Pamoja na kuwa kwa kawaida mapenzi ni very complicated na hayana formula maalum, ila uongo na utapeli umejaa sana kwenye mapenzi ya siku hizi. Watu hawajali kuhusu hisia za wapenzi wao tena. Ubinafsi umezidi.
 
Aiseeee mm niko tofauti mwanaume akishakuwa na life lake la maana, pili anajari, tatu mawasiliano ya karibu( reasonable communucation na msafiiiiii. walai siwez msalti hata kama ana kibamia nitavumilia. Kwan tango sh ngap? Mia tatu tuu! Mm tofauti. Oh mara dushe refu mara nn kwangu havina maana akishatimiza hayo

Good girl. Basi wewe unajitambua na mwanamke wa aina yako huwa inakua rahisi sana kum-maintain. Hongera kwako.
 
Back
Top Bottom