Wanaume wengi huwa wanadhani akishaweza kumweka mwanamke ndani amemaliza kila kitu. Na mwanamke nae anapoenda kuolewa anapenda kukuta mambo kadhaa kwa mume.
1. Anategemea mume amjali. Katika kujali mwanamke anataka uwe karibu nae, upige nae stori kwa sababu adui mkubwa wa mwanamke ni upweke.
2. Anategemea uwe na pesa, kwa sababu hawapendi shida shida ktk maisha yao.
3. Anategemea mume ayaweze mapenzi kitandani, hawapendi kabisa mwananaume legelege au asie na mda na mapenzi na asie taka kukaa karibu yake. Ukiyaweza hayo utakuwa umeweza kuishinao kwa akili. Kwa bahati mbaya asilimia kubwa ya wanaume hawapendi kukaa na wake zae na wala hawana mda nao.
Teh mlikuwa na appointment ya kwenda wapi hadi akupitie? Au mwingine unamsikia "ooh niliteleza", sijui alikanyaga ganda la ndiziNajaribu kufikiria ile sababu yetu pendwa bana - eti shetani alinipitia, teh!!

Kutulizwa kivipi mkuu?hakuna kinachoweza kumtuliza mwanmmke.
zaidi ya mwanammke anaetaka kutulizwa.
Aisee you are one in a million, hakika mungu akujalie ndoa tu kabla hata hujaililia...We ndio mwanamke ambae kila kidume anamuota na inaonesha pia upo real sana. Kama hakuridhishi mpe namna ya kumsaidia ili muwe safi badala ya kuchukua uamuzi wa kumsaliti kama wale wapuuzi wanaojisifia umalaya humu kisa wanaume wao wamepoteza umakini, hakika ukimuheshimu mume na kumtreat kama mtoto wako atakupenda mpk kufa.Aiseeee mm niko tofauti mwanaume akishakuwa na life lake la maana, pili anajari, tatu mawasiliano ya karibu( reasonable communucation na msafiiiiii. walai siwez msalti hata kama ana kibamia nitavumilia. Kwan tango sh ngap? Mia tatu tuu! Mm tofauti. Oh mara dushe refu mara nn kwangu havina maana akishatimiza hayo
You are so clever kusema "wanajua makosa yao wenyewe"Fedha sio upendo.
Hayo mambo ya ndoa magumu.
Labda huyo mume mtarimbo wake haufanyi kazi
Mdada wa watu afanye nini tu? Au labda hampendi tena.
Anyway nisiingilie. Wanajua makosa Yao wenyewe.
We wapenda nini?Labda hapendi pesa unapenda dushe
We sema tu ipo siku utapata mwanamke hio bikra hana na atakuendesha km hana akili nzuri na utajishangaaa mana hata kumuacha itakua mtihani kwakoha ha ha hela.mnataka na kukojozwa mnataka.pia.. na attention mnataka.pia... hao wanaume muwaumbe wenyewe..
kwa maoni yangu mimi mwanamke anae deserve everything ni aliyempa mume wake zawadi ya bikira tu..
kama tumekutana.wote used hata afanyeje anipasui kichwaa.. akisepa unaweka ndani mwingine...
watasumbua wanaume wasiojitambua tu..
kwanza sex and love is overrated
Hahahaha FYI love hainaga sababu sijui cha ziada sijui cha nini, anaweza tokea bikra huyo usifeel chochote na akaja mapepeee huyo hana cha ziada chochote wala lolote na ukaingia mzimaa mzima, With love yani hata usiseme never t can happenhaijalishi inanipa nini.. ila ni heshima kwake kama ameweza kustahimili hisia zake hadi ndoa.. basi ana deserve kumsumbua kichwa aliemuoa...
ila mtu aliovua kufuli kila sehemu ni changudoa tu asiye na soko maalum ( japo huwezi mwambia wazi girlfriend wako ila kama hana bikira wanaume karibu wote wanawazaga hivi kichwani mwao))... so hawezi umiza kichwa mwanaume yeyote mjanja kichwa zaidi ya mjinga mjinga..
ndio maana siku hizi used wanaoolewa au kusumbua wanaume vichwa ni wenye benefits tu. labda awe mambo safi kwao au awe kichwa sana.. unajua watoto watapata goodmind... but mtu used sio genious darasan wala sio mambo safi kimaisha.. utamsumbua nani akili
mimi mwenyewe used.. why used mwenzangu nimpe everything wakati hana chochote outstanding..
kwaza love and sex ni overrated.. hata wanyama wanafanya.. binadamu tu wasio na akili wameikuza vichwan mwao
hii ni kwa wanaume smart wote.. wameliweka hili kichwani.
kama papuchi kila mwanamke duniani anayo.. so atanisumbua kichwa kwa kipi cha ziada??
Hivi ni lazima mimi nipige simu tu?? wewe huwezi kunipigia ili kudumisha mawasiliano? hayo mambo ya one way traffic mnayoyataka kwenye mahusiano kwa kweli yana bore sana,Ushasema jamaa anasafiri kila uchao,Muda na mkewe anaupata wapii??na wanaume wengine ni wazito sana kwny mawasiliano, msipoonana basi simu haipigwi wala msg huoni,huku nyuma mshika pembe anampetipeti mkeo every lunch tym na kumpigia simu usiku,sawa mwanamke nae ana matatizoo ila wanaume pia mna kasoro
muda mwingine ukiona we ni wa safari sana beba mkeo nenda nae kama hana kazi ya kumbana kiasi hiko
Hongera kwa dada,lakini hamna watu wanafki km wanaume mwasema mnataka a good woman bla blah akitokea walaaa u can't handle it mnakimbilia vimapepee vikishacheat km bibie kwny mada thread zinakuja hapa,same applies to women oh I want a good man n shit akikutokea u know this man is good ila unamkwepa unataka player anaekuumiza kichwaAisee you are one in a million, hakika mungu akujalie ndoa tu kabla hata hujaililia...We ndio mwanamke ambae kila kidume anamuota na inaonesha pia upo real sana. Kama hakuridhishi mpe namna ya kumsaidia ili muwe safi badala ya kuchukua uamuzi wa kumsaliti kama wale wapuuzi wanaojisifia umalaya humu kisa wanaume wao wamepoteza umakini, hakika ukimuheshimu mume na kumtreat kama mtoto wako atakupenda mpk kufa.
Si unajua mtoto hasuswi na mama ila anarekebishwa kwa busara tu!
Simu inaweza pigwa pia lakini ikiwa one way traffic I.e akifanya mke tu anachokaa,everyone amake effort kwny hayo mawasiliano km kweli mnapendanaHivi ni lazima mimi nipige simu tu?? wewe huwezi kunipigia ili kudumisha mawasiliano? hayo mambo ya one way traffic mnayoyataka kwenye mahusiano kwa kweli yana bore sana,