Jamani inakera!!! Inakera sana. Au tuanzishe mamlaka ya udhibiti wa ndoa Tanzania??
Ngoja niwape kisa chenyewe.
Kuna mdada mmoja yuko kwenye ndoa mwaka wa 6 huu sasa. Ana mume ni afisa wa serikali ambaye ktk awamu ya JK alikuwa akienda nje mara nyingi kama vile wewe na mm tunavyoenda bafuni kuoga. Kwa awamu hii ya JPM bado jamaa safari za mkoa kwa mkoa hazikatiki. Ana make pesa ya kutosha ktk mishe yake hiyo. Huyu dada aliolewa akiwa ****** kama ***** lkn mshikaji kampromote mpk mwaka jana kamaliza degree.
Nyumbani kwa mahikaji kuna gari NNE za kufanyia mitoko. Mara nyingi 3 huwa anazunguka nazo mke, maana mume hupendelea kuitumia mojawapo kwa masafa.
Sasa ndugu zanguni juzi kakutwa laivu akigegedwa na mshefa (mfanyakazi mwenzie). Ni mchovu tu hana chochote kainua kifua kwa kunyanyua vyuma visivyo na viwango.
Ndugu, jamaa na majirani tukaitwa kwenye mjadala huo. Dada hana anachojibu. Anabaki kumtupia mzigo shetani.
Daah! Inauma! Eeeh! Acheni jamani.
Mm nimekata tamaa kabisa. Kama dada anabadili gari kulingana na nguo aliyovaa, halafu anasaliti vipi mie kabwela ninayechekelea magari ya mwendo kasi? Nitaishia kuyasifu kuwa ni uroda na mke wangu ataliwa uroda.
Poleee kwa shemeji, unajua wanawake wengi hatupendi kitu kimoja tu kwenye mapenzi, yaani mi naona wanaume wanakosea sehemu moja tu:
1. Hawana muda wa kubembeleza wake zao
2. Mapenzi yao ni ya mazoea sana, hamuoni mkewe kama ni mtamu, mrembo n.k
3. Ubunifu 0 yaani, anaeza toka job/shughuli zake, akachelewa kurudj, haulizi umeshindaje, hawazi wala kujali hisia zako tena, anachojua ni tundu li wapi aingize na kutoa.
4. Hujali hisia zake zaidi, akimaliza kujojoa issue inalala, ndo basi tenaaaaa, akikuonea uruma ndio utasuguliwa ka Cd mbovu adi ujojoe.
Hapo ndio ikizidi unakuta mkeo yupo na house boy, mlinzi, na hata mzoa taka anaemsifia urembo wake kila siku, anaemwambia jinsi anavovutia n. k
Waume waangalie HII ISSUE AISEE