Jamani inakera!!! Inakera sana. Au tuanzishe mamlaka ya udhibiti wa ndoa Tanzania??
Ngoja niwape kisa chenyewe.
Kuna mdada mmoja yuko kwenye ndoa mwaka wa 6 huu sasa. Ana mume ni afisa wa serikali ambaye ktk awamu ya JK alikuwa akienda nje mara nyingi kama vile wewe na mm tunavyoenda bafuni kuoga. Kwa awamu hii ya JPM bado jamaa safari za mkoa kwa mkoa hazikatiki. Ana make pesa ya kutosha ktk mishe yake hiyo. Huyu dada aliolewa akiwa ****** kama ***** lkn mshikaji kampromote mpk mwaka jana kamaliza degree.
Nyumbani kwa mahikaji kuna gari NNE za kufanyia mitoko. Mara nyingi 3 huwa anazunguka nazo mke, maana mume hupendelea kuitumia mojawapo kwa masafa.
Sasa ndugu zanguni juzi kakutwa laivu akigegedwa na mshefa (mfanyakazi mwenzie). Ni mchovu tu hana chochote kainua kifua kwa kunyanyua vyuma visivyo na viwango.
Ndugu, jamaa na majirani tukaitwa kwenye mjadala huo. Dada hana anachojibu. Anabaki kumtupia mzigo shetani.
Daah! Inauma! Eeeh! Acheni jamani.
Mm nimekata tamaa kabisa. Kama dada anabadili gari kulingana na nguo aliyovaa, halafu anasaliti vipi mie kabwela ninayechekelea magari ya mwendo kasi? Nitaishia kuyasifu kuwa ni uroda na mke wangu ataliwa uroda.[/
Mkuu Binadamu sisi ni viumbe wa ajabu sana,niwachache utawakuta na busara,na sijui ni firkra zangu mimi lakini nahisi
mtu anapokua mbali na Muumba wake mengi ya kishetani humkuta,kwafano huyo dada kama maisha mazuri alhamdulillah,sasa hapo nini kilipungua? kama tatizo ni sita kwa sita mnakaa chini mnaongea "Mume wangu tu leo naomba tuongeze kidogo,au labda unaona sio vile ulivyozoweshwa na yule anaekuvutia bangi muelimishe vipi unapenda,
ila huyo kaona bora sasa akahonge yeye manake kama bwana unaemtaka hana na service yake unaitaka nilazima
ununue lakini unajitia nimekupa,sasa fedhea imempata pakuweka sura hana...