Wanawake mnataka nini ili mtulie?

Wanawake mnataka nini ili mtulie?

Anaitaje majirani kusikiliza matatizo ya kwake? watu wanashangaza sana.

Jamaa ali-mix, hakuamini alichokiona. Kwa jinsi alivyo powerful kiuchumi alafu anagongewa mke na mchovu aliyepandisha kifua kwa vyuma visivyo na TBS!!!?? Ni dhahiri ilimuuma na alichanganyikiwa.
 
Kwani huyo mdada aliolewa na hayo magari anayobadilisha kila siku?, kitu ambacho mwanamke anakihitaji zaidi kwa bwana yake ni *ATTENTION* hakuna kingine
Ok, aombe talaka aende kwenye attension anayoitaka...
 
Jamani inakera!!! Inakera sana. Au tuanzishe mamlaka ya udhibiti wa ndoa Tanzania??
Ngoja niwape kisa chenyewe.

Kuna mdada mmoja yuko kwenye ndoa mwaka wa 6 huu sasa. Ana mume ni afisa wa serikali ambaye ktk awamu ya JK alikuwa akienda nje mara nyingi kama vile wewe na mm tunavyoenda bafuni kuoga. Kwa awamu hii ya JPM bado jamaa safari za mkoa kwa mkoa hazikatiki. Ana make pesa ya kutosha ktk mishe yake hiyo. Huyu dada aliolewa akiwa ****** kama ***** lkn mshikaji kampromote mpk mwaka jana kamaliza degree.

Nyumbani kwa mahikaji kuna gari NNE za kufanyia mitoko. Mara nyingi 3 huwa anazunguka nazo mke, maana mume hupendelea kuitumia mojawapo kwa masafa.

Sasa ndugu zanguni juzi kakutwa laivu akigegedwa na mshefa (mfanyakazi mwenzie). Ni mchovu tu hana chochote kainua kifua kwa kunyanyua vyuma visivyo na viwango.

Ndugu, jamaa na majirani tukaitwa kwenye mjadala huo. Dada hana anachojibu. Anabaki kumtupia mzigo shetani.

Daah! Inauma! Eeeh! Acheni jamani.

Mm nimekata tamaa kabisa. Kama dada anabadili gari kulingana na nguo aliyovaa, halafu anasaliti vipi mie kabwela ninayechekelea magari ya mwendo kasi? Nitaishia kuyasifu kuwa ni uroda na mke wangu ataliwa uroda.
Ukiwa na pesa mingi halafu unamkuna mwanamke ile ile yani vizuri hakika ni ngumu kutoka nje ya ndoa au kukusaliti mkuu kigodoro.

Hivyo mwanamke atakusaliti hata kama una hela nyingi endapo unaendekezs viti vifuatavyo: haumkuni vizuri, hauna muda wa kukaa nae na n.k....sifa ya watu wenye hela hawana muda na wake zao isipokuwa tu wako busy na hela zao ndiyo maana unakuta wake zao wanawatafuta vijana handsome kama Mimi hapa ili kuwa hudumia kwa upande wa sex.

Kwa upande wa watu wanaojua kumkuna mwanamke ila hela hawana. Hapa mwanamke anakusaliti sio kwa sababu haridhiki na ukunaji wako bali ni kwa sababu huna hela na huwa unashindwa kumuekea mambo fulani Fulani hivi vizuri kisa huna hela.Hivyo basi, ili aweze kuwa na ulinzi katika mambo mengine anaamua kutafuta mwanaume mwenye hela!

Mwisho, mwanamke asiyekunwa vizuri hutafuta mkunaji mzuri wakati wale wanaokunwa vizuri ila mkunaji hana hela inamlazimu atafute mwanaume mwenye hela.
 
Ndio upuuzi wa baadhi ya wanawake. Huyo aachwe tu akafie mbele ya safari
je wewe ni mkamilifu 100% huna dhambi yoyote? je wajua nguvu ya msamaha? amsamehe naye apunguze safari ama akisafiri aende naye!
 
Ijukiane kwamba...
Mwanamke anahitaji mwanamme mmoja tu duniani kumtimizia mahitaji yake yoote...

Hali ni tofauti si kwetu wanaume...
Mwanamme mmoja anahitaji wanawake wooote dunia nzima wamtimizia haja yake moja tu...

So kilichojitokeza hapo kwa huyo mke wa best yako ni kwamba...
Huyo mume wake ni kweli amaemtimizia baadhi tu ya mahitaji ya mke wake kama usafiri, elimu, pesa, chakula, na kadha wa kadha ila hapo kwenye NGONO sio penzi niseme tena NGONO jamaa kashindwa mtimizia so.....

Na mbeba vyuma ngono ila vingine kashinwa...
Na hapo ndio mwanamke hahaha huku na huku kutafuta wote awagawanye mahitaji yake.

Ndio hali halisi!!!
 
Back
Top Bottom