Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,624
- 47,250
Poleni na mvua kwa wale mnaokaa bondeni,najua ni kero kubwa kwenu.
Ila hongereni kwa wale mnaofaidika nazo,hasa kwa kutapisha vyoo pindi zinyeshapo usiku.
Straight to the point. Haki sawa kwa wote,nimegundua baadhi ya wanawake hawajaielewa hii kampeni. Lengo lililenga katika baadhi vitu mfano elimu.
Sasa kuna wanawake wanataka haki kila sekta,kiasi kwamba wanaanza kufuga vitambi kama wanaume. Unakutana na binti mzuri,shepu kali,age ni under 28 ila ana kitambi.
Nadhani mnahitaji kuelimishwa kuhusu ili. Vitambi haviwapendezi,ingieni gym.