Wanawake mna siri sana

Wanawake mna siri sana

Mmmh,simamieni nyumba zenu ili kuwaweka waume zenu kwenye mstari mnaoutaka.
Msikae kimya,mnaua familia...cha msingi, msipayuke bali kwa upole.Twapenda kudekezwa...kuambiwa ukweli ni bora sana.

The Great Gatsby
Waume wakizazi hiki ukute yeye ndiyo ana masters degree mke kadiploma hata kazi hata kazi hana atashauriwa nini akubali yy msomi hatari sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana,tafuta eneo na muda muafaka...u'll settle things tu.

The Great Gatsby
Mmm mke anamwambia mmewe leo naomba tuongee uwahi kurudi siku hiyo atachelewa ukifika muda wa kulala utaambiwa nimechoka acha nipumzike kwani hapa nyumbani hakuna mahitaji hapo sasa pamekaaje mwishowe ndiyo hivyo viburi sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SIRI NZITO IKIWEMO KUBAMBIKIA MIMBA WAUME ZAO;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;; ''''''WANAUME TUMEUMBWA MATESO'''''''''''
 
Zaman hv kuna jamaa mmoja alikua katumix wadada wawili at once..nilivojua nkamuuliza ss unamchagua nani...akaanza ohh wish ningewaoa wote ila ttz ndoa ya kikristo...at the back of my mind am like hv uyu kaka anajua kidude chake kilivyo kweli ..??.ama kisa tunakaaga kimya na kufake mtu anajijengea confidence... Mtu kumridhisha mmoja shida wawili atawezaje...sikuwahi kummwambia ilibd niwe kimya tu mwanamke mwenzangu akapambane nacho...
sasa unaenda akati chupi chupi chafu K inanuka kwa nn asikukinai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jirani za masiku??mwanamke mwenye staha huficha siri za mpenzi/mumewe kasoro zipo kiukweli mwengine hayuko romantic mambo yanaenda kiroboti,yupo yupo tuu hana kauli nzuri,sema twastahi kuwasaidia mbele za watu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mmh haya mambo ya kiroboti huwa yananishinda, kuna wanaume ni wagumu jamani, Mungu awalainishe
 
Wakuu habari ya kazi,

Jana nilikuwa naongea na dada mmoja kashaachana na mumewe akasema nimemvumilia sana mume wangu, ukorofi, uzinzi, kelele, kilichomkwaza ni kumtangaza kwa watu kuwa eti mke hajui mapenzi.

Kila siku alikuwa anaomba msamaha, hadumu kifuani kwangu hata dakika 20, ni dakika 7, tayari ananiacha na genye zangu.

Sasa kampata kijana anampa yote anakiri nimeshiba baba yangu naomba niache, majina ya baby, honey, sweet, mhh hakuna, akasema ninakuita baba unaniweza najua niko na mwanamme siyo baby.

Wazee mmewahi kukumbana na mke akakiri kashiba? Ameshangaa kuona kuna watu wapiga, 4, mechi moja kwa saa 4 kaenda kazini full kulala katuma SMS baba usingizi nahitaji kulala nikamwambia piga kazi.

Wanawake mna siri kubwa za wapenzi wenu, haya wanawake haya yapo kwenu au uongo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Usishangae nawe siri zako zinatunzwa!
Mkiachana pia atakuja njemba kutuambia ilikuwa na kasoro gani!
What comes around, goes around!
 
Usishangae nawe siri zako zinatunzwa!
Mkiachana pia atakuja njemba kutuambia ilikuwa na kasoro gani!
What comes around, goes around!
ukiwa kwenye kilele cha mapenzi unaweza ambiwa mambo na ukajiona dunia nzima ni wewe tu fundi, ukweli utaujua mkiachana atakavyo funguka madhaifu yako.

jamaa anajipa moyo bila kujua ni suala la muda tu ukifika atapewa kashfa yake pia.

hakuna aliye mkamilifu tuvumiliane tu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mmh haya mambo ya kiroboti huwa yananishinda, kuna wanaume ni wagumu jamani, Mungu awalainishe
hehh osama alkua gaidi wa dunia ila alioa,samson miguvu yote katekwa na delila sembuse wewe mwananchi wa kawaida unaleta ugumu had kwa baby?
 
hehh osama alkua gaidi wa dunia ila alioa,samson miguvu yote katekwa na delila sembuse wewe mwananchi wa kawaida unaleta ugumu had kwa baby?
papuchi kitu kingine aiseee[emoji23][emoji23]..halafu ukute ndo zile safi tamu na zenye kijoto flan ivi ba baby mwenye anakata mauno huhuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom