Wanawake mna siri sana

Wanawake mna siri sana

Sasa tukisema si ndio tumetoa siri za waume/wapenzi wetu?!!!!!

Alafu hizo siri gani tulizonazo ilihali kakueleza madhaifu ya mumewe?
 
Da mimi nikipigwa kibuti nakaaga kimya tu sitoi siri hata,uanaume kifua bwana
 
Zaman hv kuna jamaa mmoja alikua katumix wadada wawili at once..nilivojua nkamuuliza ss unamchagua nani...akaanza ohh wish ningewaoa wote ila ttz ndoa ya kikristo...at the back of my mind am like hv uyu kaka anajua kidude chake kilivyo kweli ..??.ama kisa tunakaaga kimya na kufake mtu anajijengea confidence... Mtu kumridhisha mmoja shida wawili atawezaje...sikuwahi kummwambia ilibd niwe kimya tu mwanamke mwenzangu akapambane nacho...


hahahahahhahahah! hyo kisayansi ipo anaprove wrong! utaona mtu anajimwili hiloooo kama jumba kila siku anakitembeza aonekane hana shida lol!
 
wakishafunzwa huko wanakuja kwa upole ndani na unyenyekevu juu... jirani hakuna haja ya kupambana ni kuwaacha tu
Mmmh,simamieni nyumba zenu ili kuwaweka waume zenu kwenye mstari mnaoutaka.
Msikae kimya,mnaua familia...cha msingi, msipayuke bali kwa upole.Twapenda kudekezwa...kuambiwa ukweli ni bora sana.

The Great Gatsby
 
Mmmh,simamieni nyumba zenu ili kuwaweka waume zenu kwenye mstari mnaoutaka.
Msikae kimya,mnaua familia...cha msingi, msipayuke bali kwa upole.Twapenda kudekezwa...kuambiwa ukweli ni bora sana.

The Great Gatsby
kuna wakati unatumia mbinu zote zinabuma unaacha ulimwengu udili naye
 
mtu akiibiwa naona kama naibiwa mimi

be___blessed
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom