Wanawake mna siri sana

Wanawake mna siri sana

Mmmh,simamieni nyumba zenu ili kuwaweka waume zenu kwenye mstari mnaoutaka.
Msikae kimya,mnaua familia...cha msingi, msipayuke bali kwa upole.Twapenda kudekezwa...kuambiwa ukweli ni bora sana.

The Great Gatsby
tunawapenda ila muda mwingine mna vibur hamsikii ni bora nikae kimya kuliko kupayuka
 
siri zipo nyingi tu
Kwamwanaume ni ujinga kupambana na ulikotokea wakati wa kuja duniani..!

Hizi mambo za mapenzi ukijitia ujuaji utawehuka bure, kidonda chenyewe hakiponi miaka nenda rudi afu ujisumbue eti unakitonesha utakiwezea wapi??
 
Zipo mbona unakuta unampenzi wakoo mnapendana kweliii, Siku ukiteleza ukachepuka ndiyo unakutan na mambo km hayo gusa unate wewe..... Hadithiwa tu yasikukute.
 
Kwamwanaume ni ujinga kupambana na ulikotokea wakati wa kuja duniani..!

Hizi mambo za mapenzi ukijitia ujuaji utawehuka bure, kidonda chenyewe hakiponi miaka nenda rudi afu ujisumbue eti unakitonesha utakiwezea wapi??
Ni kuenjoy tu
 
Mtu akiwa anajisifia kuwa yeye ndio mtiaji mzuri ujue kuna tatizo hapo
 
asinirudie na magonjwa tuu Mungu saidia,,huwa sishindani nao unafanya ujinga nakuambia kitaratibu ukirudia nakupa na hongera kabisaa maana kichwa chako ni fuvu tuu na steki za usoni hauna ubongo
Unafaa kuolewa wewe unajua kufikiria ya Leo nakesho
 
Mwanaume anakaa kifuani dakika saba analalamika?
Wengine hata dakika tatu ni nyingi.
Dakika 7 zenyewe yawezekana ni zile za kusubilia inapita dk anashitua natulia akija tena mara moja anashitua antulia akija tena yaaaala wazamaniiii[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jirani za masiku??mwanamke mwenye staha huficha siri za mpenzi/mumewe kasoro zipo kiukweli mwengine hayuko romantic mambo yanaenda kiroboti,yupo yupo tuu hana kauli nzuri,sema twastahi kuwasaidia mbele za watu
Unafikiri huyo wa dk 7 hana vimada huko nje si ajabu huko anako msema mkewe hajui mapenzi ndiko anako malizia haja zake kwa mkewe anatafutia usingizi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom